Business Manager (BM) ni sytem inayomuwezesha mfanya biashara kuweza kuiongoza biashara yake kwa kuweka sawa hesabu zake mapato na matumizi pamoja na faida na hasara. kutunza taarifa za wateja na...
Hello ladies and gentlemen...
Anaefahamu chimbo zuri hapa Dar, wanapouza nguo za watoto nyepesi yaani (lightbaby) grade one kutoka Canada na UK anijuze. Ukinijuza na bei itakuwa poa...
Ni mali yangu halali tunaandikishiana hata kituo cha polisi
Ukitaka njoo uchukulie nyumbani.
Ni nzima haina kasoro yeyote nakupa warranty mwaka mzima.
Betri inakaa na chaji kutwa nzima hata...
Jamani nina eneo langu liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. naliuza. Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining.
Nimeezeka vyumba 2 na...
kama una mahitaji mbali mbali ya tiles za bei nafuu na zenye ubora wa hali ya juu usiwe na wasiwasi kwani HUFAT Group wamekufikia, utapata tiles za kila aina, wall tiles, floor tiles na accessory...
Kama picha inavoonesha hapo Catdrige OG kabisa za HP... ni compatible kwenye HP laserjet pro M402, MFP426 zipo mbili...zote nagawa kwa Laki moja tu....Ni mpya kabisa na Sealed
Uongozi wa shule ya St. Marcus iliyopo Iwambi jijini Mbeya unatangaza nafasi za masomo kwa kidato cha tano kwa michepuo ya HGL,HKL na HGK.fomu za kujiunga na shule zinapatikana Shule Iwambi jijini...
Ili mayai ya kuku yaweze kuanguliwa kunahitajika kuwe na mambo matatu muhimu:
1. Joto linalotakiwa kwa ajili ya kuangulia mayai
2. Uvukevuke unaohitajika ili mayai yasipoteze maji...
Tupo kwenye mapambano ya kuhakikisha sisi pamoja na ndugu zetu watanzania tunajiondoa kutoka katika hili dimbwi la umasikini kwa kutumia njia za kawaida sana.
Sisi tunatengeneza mashine za...
For your needs and entrepreneurship, we suggest you to consult us to get the best out of what we do! We sell the best incubators ever seen in Tanzania. KARIBUNI SANA. TEMBELEA...
Tunatengeneza vifaa mbalimbali vinavyotumia umeme kama ifuatavyo,pasi,heater,blenda,rice cooker,tv,ving'amuzi,simu,computer,subwoofer,home theater,speaker,amplifier,audio...
Habari zenu ndugu!!
Naomba kwa yeyote ambae anaweza kuniuzia viti vya barbershop (used)
Au mwenye connection ya wap naweza kupata hvo viti lkn used bas tuwasiliane.
Bajeti yangu kidogo imeyumba...
HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya...
Habarini za muda huu wadau.
Watu wengi wamekuwa wakihangaika kupata msaada hasa wa printer za epson na nyinginezo huku wakikutana na mafundi vishoka ambao mwisho wa siku hujikuta wameharibiwa...
Habarini za majukumu wakuu!,
Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo...