Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari za majukumu; Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa Nissani Patrol (chura) toleo la kuazia 1995 inahitajika, kwa yeyote anayeuza amesikia inauzwa mahali naomba aje pm au unaweza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tunauza Mashine ndogo za kufulia mpya kabisa kutoka china. Zinafua, Kusuuza na Kukausha. Brand Ni JF, Ni Imara sana na ikikusumbua ndani ya miezi mitatu tutakabadilishia mashine mpya kabisa...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari wakuu, Ikiwa una nyumba yako na unajiuliza ni wapi utapata mapazia au Mabomba ya mapazia pamoja na installation (ufundi) basi leo umepata suluhu kwani sisi tunaweza kumaliza tatizo lako...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu! Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza Begi la mkono mmoja 8000 tu na Moderm ya Voda bei 7000 tu Vipo mbagala kizuiani Kwa mawasiliano njoo P.
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Zimenyooka kama unavyo ona kwenye picha Bei ya kila moja ni 2,150,000/= Maelewano call 0713579248 Zinapatikana Dar es Salaam
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Jipatie nakala za vitabu vya riwaya pendwa za Kamanda Amata Sasa. Wahi katika sehemu hizi[emoji116]ukamate yako... HARUFU YA KIFO Tsh 12,000 MPATANISHI Tsh 12,000 Dar es salaam °Duka la Kona ya...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
If you know wharra am saying. Maana huwa tunajitia umaajumui sana katika mambo tusiyoyajua.
0 Reactions
2 Replies
647 Views
Habarini wakuu. Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya...
6 Reactions
37 Replies
7K Views
Bei laki 4 Location kimara Mrisho Laptop Lenovo HDD 500, RAM 4
0 Reactions
6 Replies
533 Views
Kwa wapenzi wa kuweka nywele karikiti yenye kukaa miezi 3 bila kulitachi wanicheki kwa no 06788188066 au 0657932367. Nije kukuhudumia Faida ya kalikiti. 1 inafanya uwe na mawimbi mazuri ambayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Karibuni kupata perfume mbalimbali kwa bei poa. Perfumes zote ni 35,000 hapa kuna unazopata na body splash yake kwa bei hiyo hiyo na jumla tunauza kuanzia 6 (Set 6) na ukichukua nyingi zaidi bei...
6 Reactions
218 Replies
11K Views
Habari ya muda huu ndugu zangu.. I'm a freelance Accountant doing the following 1. E-filing (PAYE & SDL) 2. Payrolls preparation 3. VAT returns preparation and filing 4. Preparation of books of...
4 Reactions
8 Replies
921 Views
Habar wakuu msaada wenu nauliza wapi naweza kuganyiwa massage na maprofesional nasumbuliwa na mgongo Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
45 Replies
3K Views
1. Two Stands rail net Hii ni net👆 nzuri sana na classic sana, Kimuonekano ni kama inavyoonekana hapo juu, Zipo katika rangi 4 (Pink, Purple, Cream & White) 2. Two stand adjustable net...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Nauza simu yangu ya Samsung S10 5G Storage 256 gb Ram gb 8 500,000 0715 378899
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, Natafuta gari ya kukodi Dar kwa muda wa wiki mbili au nne kutegemea na makubaliano. Nitakuwepo hapo Dar mwezi huu mwishoni, kama kuna mtu ana kampuni au anajua mtu/...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza destop Aina ya dell Bei 170,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali: Imetumika Mahali: Mkoa wa Dar es salaam Simu no 0658 106 630 Karibu.
0 Reactions
0 Replies
509 Views
POWER BACKUP Jipatie backup ya umeme ambayo inaweza kutunza power kwa zaidi ya masaa 8, Backup system inakuwa na inverter charger na battery. Unaweza kuunganisha na mifumo kama CCTV CAMERA...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom