Kumbe madalali wengine wanatumia uchawi eeh!!?

Fazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
635
Reaction score
1,456
Habarini mwaka ndo ushaanza hivyo,

Ipo hivi unaweza ukawa unatafuta chumba au nyumba au hata kiwanja chenye specification flani unazotaka, lakini madalali watakuonyesha kitu tofauti kabisa, utashangaa ushalipia baaada ya hapo utagundua kumbe hapa sipo napohitaji eeh unaanza kuhaha tena kufaulisha hiyo nyumba au hata chumba au kiwanja hata magari pia, hawa jamaa sijui wanatumia nini..

Anyway nimeanza kazi ya udalali Kama unahitaji chumba au nyumba kuanzia Ubungo, Kimara na Mbezi karibu tuyajenge.

Nb: Mi namtegemea Mungu utapata unachotaka
 
Mazingara na mazonge mengi ya madalali kipindi hiki hutegemea sana imani dhaifu na soko la ushindani ktk kazi zao.
Ila madalali acha kabisa unaweza uziwa kiwanja ambacho ni njia ya maji lakini usione mpaka upokee mkataba wako wa mauziano..

80%ya madalali hutumia tunguli
 
Mkuu ni ukweli ulio wazi kabisa ndumba ndo kipaumbekw Cha walio wengi
 
Kuna ishu kama hii mi inanikutaga..Mi ni mzee wa kununua sana nguo kila mwisho wa mwezi naweza kununua hata mashati matatu au mawili ya kiofisi na fulana za kawaida plus jeans au suruali za vitambaa.

Ishu inakuja naweza nunua nguo huko town nikifika home nisiivae kabisa maana Inakuwa labda mbaya kabisa ila kule nimeichek fresh..Nina nguo kibao sivai yaani nanua tu bila ya kupenda hata nijaribishe kule ila nikifika huku naichukia kabisa kama mashati mawili moja sivaaa kabisa yaani ntaliona ovyo.
 
Kabisa mkuu hii ipo Sana yani hadi unshangaa sijui ulinunuaje wale sio Bure
 
🤣🤣🤣Hapa Nina mashati matano sivai kabisa na suruali naona ni modo sana yaani nashangaa kwa kweli..
 
Hiyo kitu ipo mzee ukitaka kuenda kununua kiwanja usiwe na hela mfukon ,madalali wamekuwa washirikina balaa

Kuna dadali huyo ukiwa mbishi wa kununua anaitwa yeye na akija huchomoki unaweza nunua kitu baadae ukajiona fala
 
Habarini mwaka ndo ushaanza hivyo,

Ipo hivi unaweza ukawa unatafuta chumba au nyumba au hata kiwanja chenye specification flani unazotaka, lakini madalali watakuonyesha kitu tofauti kabisa, utashangaa ushalipia baaada ya hapo utagundua kumbe hapa sipo napohitaji eeh unaanza kuhaha tena kufaulisha hiyo nyumba au hata chumba au kiwanja hata magari pia, hawa jamaa sijui wanatumia nini..

Anyway nimeanza kazi ya udalali Kama unahitaji chumba au nyumba kuanzia Ubungo, Kimara na Mbezi karibu tuyajenge.

Nb: Mi namtegemea Mungu utapata unachotaka
Promo nzuri
 
Mungu akufungulie njia zaid.
 
Back
Top Bottom