PROPERTY INVESTMENT COMPANY LTD inakuletea Viwanja vya bei nafuu vinavyopatikana KISOTA KIGAMBONI:
✓Viwanja vipo km 3 kutoka fery, pia vipo umbali wa km 2 kutoka darajani.
✓Vipo karibu na Kwa...
● Viwanja vilivyo sehemu upepo wa bahari unapovuma ule mzuri na tulivu
.
● Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri .
● Viwanja vipo beach safi...
Viwanja Vyetu Vinapatikana Vianzi Ni Km5 Kutoka Vikindu Na Vimepimwa Kuanzia Sqm 204 Na Kuendelea
Pia Tuna Viwanja Maeneo Mengine Tofauti Na Bei Tofauti.
MWASONGA, MWEMBE MDOGO, KIBUGUMO...
[emoji419] MZIGO MPYA UMEINGIA SOKONI[emoji419]
KWA MARA NYINGINE TENA
TUNAWALETEA MIRADI MIPYA YA VIWANJA VILIVYOPIMWA KWA AJILI YA MAKAZI NA BIASHARA.
[emoji419][emoji419]MIRADI MIPYA IPO...
Habari,
Natengeneza na kuuza juisi za matunda mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja, mfano embe, passion, parachichi, karoti, nk, kwa bei ya jumla kwa wale wenye vibanda vya chips, migahawa...
Chanika Magenge, mtaa Toroka Uje.
Bei 16milioni. Serious buy nipigie tufanye biashara 0712347749, 0746474849.
Nyumba ina vyumba 3.
Master 1, viwili vya kawaida
Choo cha public kipo ndani...
Nyumba ya kupanga yenye uzio wa ukuta,umeme ,maji na vyumba vitatu vyote master bed room inapangishwa Boma Ngombe karibu na chuo cha ufundi st Joseph mazungumzo yapo
Piha namba 0715407588
Habari naitwa Josephat Charles.karibu kwenye kampuni yangu people electrical Tanzania sale center. makao makuu ya ofisi ni china. ila tuna station office hapa Dar es Salaam kariakoo. Swahili...
Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote.
Kipo complete na koki yake
Say goodbye to manual bookkeeping and hello to streamlined operations! Our powerful system seamlessly integrates point-of-sale transactions with accounting records, saving you time and reducing...
Habari,
Nahitaji account kwa mwenye nayo ya huduma za usafiri kwa hapa DSM. Nipo na bajaji nataka nijiunge na hiyo mitandao kwa mwenye nayo PM tuyajenge.
Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa.
Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1,
Drayer la stima 1,
kioo kikubwa kimoja,
rolas na tray ya rolas.
Bei Tsh. Laki tano (500,000/=)...
Wa-adventista huwa tuna series ya mafundisho katika platform zetu tofautitofauti
Ikiwemo YouTube, Hopechannel Tanzania Tv na radio.
Tulianza na NYUMBANI HATIMAYE, UHURU HATIMAYE na sasa tuko na...
Mambo Vp wakubwa
Naomba mwenye kujua wapi naweza kupata cover za hz simu redmi note 7 au redmi 10x pro 5g kwa hapa dar au hata nje ya dar maana nimetafuta hadi bas asee[emoji17]
Ntakuwa naleta hesabu kwa makubaliano.
-Nimeajiriwa na mshahara wa 1.8 M
-Sina mkopo bank wala popote
-Sina wategemezi
-Hii itaniongezea kipato weekend na masaa baada ya kazi. Nishawahi kufanya...
SIMU YAKO NI EFD YAKO TOSHA KABISA ..SASA UNAWEZA KUTUMIA SIMU YAKO AU LAPTOP YAKO KUTOA RISITI ZA EFD
TOA RISITI BILA KIKOMO
KARIBU DIRM TECHWORKS TUKUHUDUMIE
0692099113 [emoji338]
Whatsup...