Nanunua coin za sh 200 kwa 220

Nanunua coin za sh 200 kwa 220

Joined
Aug 6, 2017
Posts
26
Reaction score
22
Karibuni wakuu kama bango linavosomeka nanunua coin za sh 200 kwa sh 220 ukiwa nazo nyingi nyingi kama kuanzia laki moja itakua vizuri zaidi. Nicheki 0654867115
images.jpg
 
Sasa iyo 220 hapa fanya hivi katika ela yako tako iyoa 220-20= 200 hapo utabaki na coin zako tu.......
.....
 
Karibuni wakuu kama bango linavosomeka nanunua coin za sh 200 kwa sh 220 ukiwa nazo nyingi nyingi kama kuanzia laki moja itakua vizuri zaidi. Nicheki 0654867115View attachment 2565234
Sasa si uzunguke kuomba chenchi tu ya Hela uliyo nayo.. au nenda kwenye dubwi ununue coin kama token, unacheza kidogo zingine unatembea nazo
 
Back
Top Bottom