Najidakia store tunakuletea powertilla aina ya kubota kwa millioni tisa na laki tano tu (9.5m)
Na offa ya usafiri bure ndani ya Tanzania offa za pasaka hizi wahi
Tupo Ubungo external lolote...
Habari zenu
Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab
Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
Habari za majukumu,
Nauza wigs original 100% Human Hair kwa bei rahisi saana
Human hair with frontal lace
Rangi ni black na brown.
Ni original kabsa, unaweza
Kupasi
Kutong
Kubadilisha rangi...
Nauza samsung tablet A10
Ram 3 GB
Internal 32 GB
Inatumia line 1
Battery 5000amh
Price 300,000
Imetumika miezi 3 ni bado ni mpya
Alie serious aje pm
Napatikana Dar es Salaam
Tunauza mbao za dawa na zisizo na dawa kwa bei rafiki kabisa mbao ndefu za dawa 2*4 ni shilingi 13,000 mbao za futi 12 za 2*4 ni shilingi 5000,2*2 za dawa ni 2800 ofisi zetu zipo mbezi mwisho...
Habari,
Nauza gari aina ya Rav4 milango mitano. Ipo katika hali nzuri kwa bei ya Tsh. 7m na maongezi yapo.
Gari ipo Kimara Dar es salaam wasiliana nami kwa simu no 0713227823 au 0756844197...
Jamani ndugu zangu nauza shamba la miti lipo Mufindi uchindile ekali 111 na ktk hizo zimepandwa ekari zaidi ya 30 miti ya mlingoti ambayo inakua kwa muda mfupi ndani ya miaka 7 unavuna, unaweza...
Nina uza mifuko ya kuhifadhia nafaka inabeba kilo 120
Iko pisi 600. Mfuko mmoja nauza shilingi 500
Mahali ni Goba ,Dar es Salaam
Mahali popote ukitaka nakutumia
Mawasiliano 0654757823
Njoo na Tzs. 550,000/= uchukue sim ama kama una Galaxy S21 njoo tufanye exchange nikuongezee na pesa.
HAINA CRACK YOYOTE NA RISITI IPO
Simu: 0759979361
Kuna mdada kanisusia na mimi natumia Samsung so hazifanyi kazi kwangu naomba kujua bei zake. Na zinatumika kwenye Iphone gani?
NB:Siziuzi
Ilikuwaje nikasusiwa mada itakuja.
Karibu kwenye huduma ya Tax Consultancy! Tunatoa huduma za ushauri wa kodi kwa wafanyabiashara, watu binafsi na mashirika ya umma katika kuhakikisha kwamba wanatimiza majukumu yao ya kodi kwa...
Uzi huu ni maalumu kwa bidhaa used pekee,kwa bei ya used na kwa walio na utayari wa bargaining..usilete bei zako za dukani hapa
Weka bidhaa yako na mawasiliano mkamalizane dm au ikibidi hapa...