Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza kiwanja changu Chalinze mjini bei milioni mbili na nusu kipo kudiyembe umeme hauitaji jengo nikuvuta waya tu ukubwa wa kiwanja 20*19 mawasiliano 0656660026.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ofa sio ya kukupita karibu ujipatie Sharp Aquos Zero (Japan Brand) ni mtumba kutoka USA kwa ofa ya 275,000 Tu, hii unapta simu pamoja na USB- Type C charger. 0764081567 Free delivery...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Je; 1. Umejenga mfumo wa kizamani ila unataka kuubadili kuwa wa kisasa na wa kuvutia zaidi? (Mfano; Nyumba ya chini kuwa ghorofa, Nyumba za paa za kuonekana kuwa za kujificha) 2. Unataka...
2 Reactions
2 Replies
730 Views
Nauza printer ya HP 1515 BEI TSH 40,000 IPO VIZURI Adapter yake haipo 0658 106 630
0 Reactions
1 Replies
542 Views
[emoji230] Nauza Shamba Ekari 1500 [emoji424] Lilikuwa linatumika Kwa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa(linafaa pia kuweka ranch ya mifugo) [emoji2515] LINA NYUMBA ZA MAKAZI yenye vyumba 4...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini waungwana Poleni na majukumu ya kazi na matumizi ya pas aka. Naomba kujua bei za mazao kwenye masoko ya Dar. kwa gunia la kilo 100 1. Mahindi 2. Michele 3. Maharage Au nikapata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamii formula NIKUSUBHILA CLEARING AND FORWARDING COMPANY ni kampunu mpya tumefungua kwajili ya ku-clear mizigo aina zote. Bei yetu ni nafuu sana. Clearance ya IT ni dollar 50 tu (50$)...
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Habari, Maelezo ya gari yapo kwenye picha za gari na kadi yake. Bei ni 5.6 million. Gari ipo Arusha. Mawasiliano 0656388678
0 Reactions
7 Replies
844 Views
Nauza gari yangu nissan murano 2004, haina changamoto yoyote, 8.5M nina dharula.
2 Reactions
0 Replies
674 Views
Eneo liko Kibaha kwa Mfipa jirani na Sec. ya simbani . Lina ukubwa wa nusu heka, kuna boma la nyumba ya vyumba 3 ambavyo vyote ni master, seble jiko na dining. Nimeezeka vyumba 2 na vyoo vyake...
0 Reactions
1 Replies
504 Views
Onekana nadhifu na wa kitofauti. Kupendeza ndio mpango mzima. Tuonane PM
8 Reactions
96 Replies
4K Views
Kuna project iko nauza screpa za aina mbali mbali. Circuit za server na RRU za minara Cast Iron Chuma Aluminum Brass Iron Fiber Plastic Taja Bei Tutirike @1kg Kwa maelezo zaidi piga simu...
2 Reactions
4 Replies
836 Views
Simu nimeinunua yapata mwezi ina box na charg line 2 ... ipo nane nane Morogoro.
0 Reactions
1 Replies
358 Views
ENEO NA BOMA LINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI . ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada kwa anayejuwa mtu anayeuza mtumba ya arabic dress belo kutoka Dubai, Oman or Morocco cream quality. Nashkuru
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba uzi huu uondolewe
6 Reactions
46 Replies
2K Views
S.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyopata leseni na TRA ya kutoa mizigo bandarini, viwanjani na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa...
0 Reactions
129 Replies
29K Views
Mahala biashara ilipo ni jambo la kujulikana kwa kila Mteja. Biashara kama 1. Mgahawa 2. Car Wash 3. Shule. 4. Hospital. 5. Lodge/Hotel 6. Garage Kupitia Google Maps unaweza kufikika kirahisi...
1 Reactions
3 Replies
415 Views
HEATER ZA JOTO KWAJILI YA KULEA VIFARANGA [emoji2788]Ni kawaida yetu kila jumapili kutoa OFAA Mbali mbali kwa wateja wetu juu ya Bidhaa zetu lengo ni kukuza tasnia ya ufugaji Tanzania [emoji1241]...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Inauzwa milioni 12 pungufu unaongea ipo zinga ukihitaji nicheki 0718127413
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…