Nahitaji wanunuzi wa screpa wanaonunua material mbalimbali

Nahitaji wanunuzi wa screpa wanaonunua material mbalimbali

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,700
Kuna project iko nauza screpa za aina mbali mbali.
Circuit za server na RRU za minara
Cast Iron
Chuma
Aluminum
Brass
Iron
Fiber
Plastic
Taja Bei Tutirike @1kg
Kwa maelezo zaidi piga simu 0659167416 Tuelewane

Muda mwingi Niko site naweza nisije huku kujibu so ni vyema tukichekiana ktk simu na utaje Bei Yako ya kununulia.

Asante.

Au Kama una connection niunganishe.

Mali ziko Dar Es Salaam.
 
Sawa mkuu, nina swali nje ya mada.
Hivi kwanini mtu yeyote akisha anza kuokota scraper hua anabadilika na kuoneka kama hana akili timamu??
Yaani hata mtu awe msomi kwa kiwango gani, muangalie akianza hiyo kazi uone...
 
Umekuja na majibu Yako. Sijui nikujibu nini wakati upeo wako ndio imeishia hapo. Nikiendelea kuongea na wewe ni Kama Mimi napoteza muda wangu.
 
Back
Top Bottom