Plot4Sale Shamba kufuga ng'ombe ekal 1500 inauzwa Iringa

Mr.Black

Member
Jun 9, 2014
95
73
Nauza Shamba Ekari 1500
Lilikuwa linatumika Kwa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa(linafaa pia kuweka ranch ya mifugo)
LINA NYUMBA ZA MAKAZI yenye vyumba 4 vya kulala
Ukinunua Unapata trekta na miundombinu mingine
UKINUNUA UNAPATA NG'OMBE 110 wa maziwa wenye uwezo wa kutoa Lita za maziwa 250 per day
Linafaa Kwa kufuga, kulima parachichi, hotel za kitalii , kupanda miti , kulima
Hati na documents zingine zote za umiriki zipo.
Barabara ya uhakika mpaka shambani IPO.
Bei ni Billion 1.1
Lipo MKOA WA IRINGA na kilomita 40 kutoka IRINGA town

Aliyepo serious anichek 0768343950

Bei ya 1.1 Billion umeifikiaje?? Je umefanya Evaluation ya Land, majumba na hao Ngombe??na kuja na hii figure??Why unauza?? Why unatakaa anaenunua hilo Shamba abebe na Ngombe wote?? Je kama anataka lima mazao mengine??
 
Hii ni biashara Mkuu thamani iliyopo ni Kwa kuwa Hilo sio pori hiyo Ina miundombinu na Ndiyo maana imefikia hapo . Na documents Halali Zipo ukitaka kulima sawa au unataka kuishi pia sawa inauzwa Kwa masharti hayo niliyosema
 
Ogopa matapeli nyumba hii haiuzwi.kuna sehemu ukipita kila nyumba imeandikwa hivyo.Haihusiani na maada ya vanilla international.
 
Hii ni bei ya kuanzia, hapo hadi 400 unatoboa.

Nitakuchek mkuu, ukanda huo kwa hizo mambo ni njema sana.
 
Sijasema
Hii ni biashara Mkuu thamani iliyopo ni Kwa kuwa Hilo sio pori hiyo Ina miundombinu na Ndiyo maana imefikia hapo . Na documents Halali Zipo ukitaka kulima sawa au unataka kuishi pia sawa inauzwa Kwa masharti hayo niliyosema
Sijasema kuwa sio Biashara! Miundo mbinu sawa inaweza kuwepo lakini thamani yake ikawa tofauti na bei. Mabanda ya Ngombe sawa yanaweza kuwepo lakini yasiwe yale yanayotakiwa hasa katika ufugaji wa Ngombe. Nyumba zinaweka kuwepo lakini zisiwe za Samani na hadhi ya kuitwa Nyumba... je kuna Maji? Ya kisima au...? Shamba lina Uzio(fance)maana kama Wafugaji wengine wanaweza ingia na kuchunga mifugo yao kwenye sehem za hilo Shamba ni risk ya Magonjwa kufika kwenye hao Ngombe.... yapo mengi ila for now hacha niishie hapa
 
Ogopa matapeli nyumba hii haiuzwi.kuna sehemu ukipita kila nyumba imeandikwa hivyo.Haihusiani na maada ya vanilla international.
Mzee hakuna Cha utapel kila kitu kimoja na kinaenda uhakika upo mtu anaenda serikali kuhakikisha
 
Sijasema

Sijasema kuwa sio Biashara! Miundo mbinu sawa inaweza kuwepo lakini thamani yake ikawa tofauti na bei. Mabanda ya Ngombe sawa yanaweza kuwepo lakini yasiwe yale yanayotakiwa hasa katika ufugaji wa Ngombe. Nyumba zinaweka kuwepo lakini zisiwe za Samani na hadhi ya kuitwa Nyumba... je kuna Maji? Ya kisima au...? Shamba lina Uzio(fance)maana kama Wafugaji wengine wanaweza ingia na kuchunga mifugo yao kwenye sehem za hilo Shamba ni risk ya Magonjwa kufika kwenye hao Ngombe.... yapo mengi ila for now hacha niishie hapa
Kama upo serious Mzee karibu other details nimesema Kuna maji na vyanzo vya maji vipo Kuna umeme

Na jamaa alibuni Kwa ajili ya ranch
 
Hizi ndizo issue napendaga, uwezo mdogo tu, ndio kikwazo, shamba la ngombe, mbuzi, mambwa makali, farasi wa kusavei bunduki shotgun nk.
 
Back
Top Bottom