Je wewe ni mfanya biashara kutoka katika maeneo hayo?
Je unatamani kupeleka biashara yako mtandaoni?
Sasa unaweza kupata tovuti/website kwa ajili yako kutoka kwetu.Kama uko tayari tafadhali...
Jiko: VENUS
Uwezo: lina Plate Sita
⏭️2-Umeme
⏭️4 Gas burners
Lina oka mikate
Status: Used like New
Price: 750,000/=
Location:DSM Chanika
Phone: 0716161683
Jiko: PLATE 3 ZA GESI
Uwezo: Linapika chips yai 3 kwa pamoja au sufuria tatu kwa pamoja.
Linakupa urahisi wa kuhudumia wateja wa tatu kwa Pamoja.
⏭️3 Gas burners
Status: Used like New
Bei...
Habari za wakati huu wana-JamiiForums,
Je, unaishi au unajenga maeneo ya Goba na unahitaji maji safi na salama kwa haraka? Tunatoa huduma maalum ya kusambaza maji kwa malori kuanzia lita 3,000 na...
Habari za wakati huu.
Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya...
Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa.
Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai.
Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa.
Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt...
Habari zenu wanajamvi?
Mimi ni Mpambanaji(Muhitimu wa chuo kikuu UDSM) nilimaliza pale 2015. Nina miaka 35, nna familia ya mke na watoto watano. Kwa sasa niko Kilimanjaro.
Katika harakati nyingi...
Plot For Sale at Msasani.
-It has a small warehouse inside.
-It's opposite Msasani fish market.
Location: Ghuba road.
Plot size: SQM 450.
Price: USD 450,000. Negotiable.
Document: Title Deed.
For...
Karibuni KINGLION INVESTMENT COMPANY LIMITED, njoo ujipatie mabati bora kwa gharama nafuu kabisa, mabati aina zote yanapatikana.
Pia tunatengeneza coil za mabati, karibu ujipatie coil za aina...
Habari wakuu nyumba ( pagale). Linauzwa ….
ipo mbezi marambamawili karibu na shule ya msingi kingazi jirani na tank la dawasco …
Ukubwa wa eneo ni sqm400……
Mauziano serikari za mitaa…
Bei sh...
habari za siku nyingi wakuu!!
shamba la hekari 114.60(sqm463801)linauzwa…
shamba lipo ruvu kitonga ni km kadhaa kutoka ruvu
lipo pembeni ya mto ruvu
bei 1.5m kwa heka moja na lina document zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.