Wadau,
The above intact Daihatsu is on immediate sale, no discount on the above price.
Full options.Alarm added.Full service and was driven by a working lady for 2 yrs in DSM
All duties paid...
Msaada waungwana wana JF natafuta mashirika ya ujenzi wa nyumba Dar. nakusudia mashirika ambayo mnapatana na yenyeewe yanakujengea nyumba na kukukabidhi kwa mujibu wa ramani yako. Mwenye kufahamu...
Nyumba ya kisasa mpya ndio imemalizwa kujengwa inapangishwa ukonga sitakishari. Ina vyumba vinne vya kulala, master bedroom. Ina garage, maji, umeme wa luku. Sh. laki tano kwa mwezi. kodi ya...
Jamani wana jf, kuna gari inauzwa.its in perfect condition ni aina ya cresta gx 100. inaendeshwa na mdada si unajua wanavyojali vyombo vyao...na namba plate ni BT something. Interested piga namba...
UNAFIKRA YA KWENDA MAREKANI KUFATA ELIMU BORA. SASA UNAWEZA KUPATA ELIMU HIYO HIYO POPOTE UKIWA TANZANIA KWA KUPITIA VIRTUAL SYSTEM yaani unafundishwa na walimu waliopo marekani na canada live...
wakuu heshima zenu,
natafuta camera tajwa hapo juu kwa ajili ya shughuli zangu, tafadhali mwenye nayo hata kama ni used lakini iwe kwenye hali nzuri anichek kupitia 713400763.
kazi njema!
Nissan patrol inauzwa
Features
SGL 3.0 Di, Manual transmission,ya mwaka 2001, Service history CFAO/DT DOBIE, imetembea kilometres 80,000. Iko katika hali nzuri sana
Bei ni TSH 38,000,000...