Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni mpya haikuwahi tumika,unaweza kuitumia kama external kwani ni zile ndogo,pia kwenye laptop ina fit.
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Zinahitajika HP/DELL computers zenye flat screen, mpya itakuwa safi zaidi.
0 Reactions
0 Replies
826 Views
kwa waishio Moshi...call me at 0717-754355
0 Reactions
1 Replies
2K Views
[DONE]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, shamba la eka 3 lipo Miyuji katika manispaa ya Dodoma linauzwa kwa sh mil 9, lina hati miliki, kama unalihitaji wasiliana nami kwa namba 0769671540.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
​MITSUBISHI CANTER : 3.5 TONS ; YEAR 1998 ; 4200 CC : TOURER ; BLUE : REGISTERED T 616 BTD : EXCELLENT CONDITION ; ON SALE BY OWNER AT KIGAMBONI DAR ; serious buyers contact +255...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nauza vifaa vya saloon vya kike,vimetumika kwa muda wa miezi 5,vipo katika hali nzuri,vyakuchukua nakuanza biashara,drayer 2 moja stimmer,rolaz,vitana,viti vitatu vyakisasa,tray kubwa la...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Kiwanja kinauzwa Kibamba CCM,upande wa kushoto kutokea mjini 25x20 kimeshajengwa msingi,umbali ni km3 tokea barabara ya Morogoro,bei Mil.6,Maelewano yapo,Mimi ndio mwenye mali hakuna dalali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni Analog used, jina lake ni canon, ina external flash inayotumia betri ndogo nne, iko ktk hali nzuri sana, begi pia lipo. bei ya kutupa wandugu, nauza shs 80,000/=. nicheck hapa 0714-408238.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
iPHONE 3GS, black, 16GB, 350000/= call 0713619476 negotiations open.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Good/Mint Condition iPhone 4 white/black color, Factory unlocked inahitajika immediately, cheap price contact: 0718323716,,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari magreat thinkers! Jamani wakuu ninatafuta laptop used kwa ajili ya matumizi madogo madogo 2, nina tsh 300,000/= cash, kwa anayeuza anijuze but isiwe mbovu mbovu. Nipo...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Iko mwanza maeneo ya Kilimahewa Ni maeneo ya 'Big bite' yanapogeuzia mabasi mbele kidogo. Nyumba haijaisha kama inayvoonekana kwenye picha Ina sebule,dinning room,jiko,stoo,na 4 bedrooms kimoja...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Dvd' containg training for AutoCad 2012 in video format. Also available training for Revit Architecture 2012 and ArchiCad. Call:0713013249
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta printer used hp 1600,2600 used. Simu 0717144200
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau chaser inauzwa.model ni gx 90,ni ya mwaka 1993 auto ipo katika hali nzuri,inatembea,sio mbovu,full ac,mp3 Jvc, full tinted and sports rims.Engine capacity 1989. Insurance inamaliza muda wake...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa, mimi ni mama wa mtoto mmoja na mume mmoja, natafuta sehemu ya kusupply lunch kwa Dar es salaam. yeyote atakayesikia au anayefahamu sehemu ambayo wanashida hiyo tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dears, Jana nimedondosha BB yangu sasa imepata hitilafu kwenye kioo siwezi view chochote sasa mwenye kujua fundi wa simu aina ya Blackberry anisaidie nipo Dar. kuongezea asiwe fundi tapeli mpenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi naitwa Ally nimemaliza masomo yangu ya PHARMACEUTICAL ASSISTANT Mwaka 2011 kwahiyo naomba kama kuna pharmacy inayohitaji fani hii au Hospital basi naomba tuwasiliane kupitia no.0763424125 ndo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KIWANJA NA MAJENGO MAWILI VINAUZWA. Kiwanja kizuri 1432square metre, kipo mita 40 tu kutoka Barabara ya Kilwa, Jirani na Kiwanda cha Nguo cha Karibu Textile Mills Ltd, Mbagala. Kina nyumba moja ya...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…