Blackberry Torch 9800

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
mambo vp' nauza hiyo torch 9800 ni mpya kabisa na inahitaji tshs. 650,000/=. Serious buyer nicheki kwa 0655003510
 

Attachments

  • IMG-20120108-WA0003.jpg
    IMG-20120108-WA0003.jpg
    84.9 KB · Views: 54
  • IMG-20120108-WA0002.jpg
    IMG-20120108-WA0002.jpg
    67.3 KB · Views: 48
  • IMG-20120108-WA0001.jpg
    IMG-20120108-WA0001.jpg
    108.5 KB · Views: 58
khaaa kaka mbona unachouza na picha uloweka ni tofauti au macho yangu
 
khaaa kaka mbona unachouza na picha uloweka ni tofauti au macho yangu

Dah sorry mkubwa' kuna mtu nilimpa kazi ya kupandisha hizo picha na hilo tangazo manake me sipo si unajua mihangaiko yangu. Dah sorry sana mkubwa ila asaivi karekebisha
 
budget yangu ilkwa mpka 200,000/-Tshs dio naweza...
kama upo tayari, tuwasiliane !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom