V VAMPA Member Joined Dec 19, 2011 Posts 61 Reaction score 4 Jan 22, 2012 #1 kiwanja hiki kina ukubwa wa sqm 2079: kina hati. bei yake ni mll 250tsh. ni pm kwa mawasiliano zaidi.
kiwanja hiki kina ukubwa wa sqm 2079: kina hati. bei yake ni mll 250tsh. ni pm kwa mawasiliano zaidi.
bg_dg_dy JF-Expert Member Joined Feb 27, 2009 Posts 607 Reaction score 495 Jan 22, 2012 #2 You can't be serious; that's roughly 45x45metres. Gotta b kiddn
Magogwajr JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 221 Reaction score 20 Jan 24, 2012 #3 VAMPA said: kiwanja hiki kina ukubwa wa sqm 2079: kina hati. bei yake ni mll 250tsh. ni pm kwa mawasiliano zaidi. Click to expand... duuh bei zake huko si hizo bwana embu acha ufisadi! hata 40ml bdo may b 25-30ml! otherwise panda mihogo angalau utavuna!
VAMPA said: kiwanja hiki kina ukubwa wa sqm 2079: kina hati. bei yake ni mll 250tsh. ni pm kwa mawasiliano zaidi. Click to expand... duuh bei zake huko si hizo bwana embu acha ufisadi! hata 40ml bdo may b 25-30ml! otherwise panda mihogo angalau utavuna!
mteule Senior Member Joined Aug 2, 2007 Posts 173 Reaction score 315 Jan 24, 2012 #4 huyu ni dalali ndiyo maana ametaja hiyo bei.