Nahitaji Laptop Mpya HARAKA

Nahitaji Laptop Mpya HARAKA

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
3,288
Reaction score
793
New Dell/Hp, at least 250Gb HDD, 2Gb RAM, Webcam, Arabic Keyboard preferred; Budget yangu haizidi 650. PM me.
 
Nenda K-PRINT. Ipo morgoro Rd. Opp Kanika Murung Farm Maschinery.
 
Samsung Min Laptop, Solar Powered, miezi 3 old , charge 13 hrs RAM, 2 GHZ, 250 HDD bei laki 7
 
Bajeti ndogo mzee...kama ya Wizara ya Elimu

Hhahahaaa, uchumi wenyewe mgumu bana; nikiwekeza zaidi ya hiyo kwenye laptop itabidi watoto niwahamishie saint kayumba!
 
Sio lazima ndugu yangu uchukue DEll kama Budget ndogo. Zipo aina nyingine nyingi jaribu hata Game Milimani city na garantii ya miezi 12 unapata kwa Budget yako hiyo.
Hhahahaaa, uchumi wenyewe mgumu bana; nikiwekeza zaidi ya hiyo kwenye laptop itabidi watoto niwahamishie saint kayumba!
 
Back
Top Bottom