Nahitaji Digital Camera ya kununua

Nahitaji Digital Camera ya kununua

Sunshow

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,140
Reaction score
395
Iwe kwenye hali nzuri. Ofa yangu 100,000. Aina ya Samsung dau litapanda kidogo. Ni PM kama unayo.
 
Yangu ni canon na bei ni euro 350. Kama una pesa niambie.
 
visit my shop ziko brand kama 4 bei range zinaanzia za elfu 80 mpaka laki 2na nusu,kazi ni kwako,for more info 0713388226
 
Kwanini unataka used? Jipande vizuri ununue kitu chako mwenyewe.
 
Iwe kwenye hali nzuri. Ofa yangu 100,000. Aina ya Samsung dau litapanda kidogo. Ni PM kama unayo.
Ninadigital camera ya Olympus orange in color 7.1MP na nimeitumia mwenyewe tu tangu ninunue ikiwa mpya. Inakuja na box lake with accessories zote. Bei Tsh. 125,000
 
Samsung used once nipe 180,000/= nipm ur mail nikufowadie full specifications!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom