Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Diwani wa Chama cha Kata ya Mtibwa, wilayani Mvomero, mkoa wa Morogoro Chadema, Tusekile Mwakyoma(28), amefariki dunia, baada ya kuchomwa kwa kisu na mchumba wake. Diwani huyo alifariki jana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wana jf wenzangu. Ninahitaji radio call za kununua .please kwa mwenye kufahamu mahala zinapouzwa hapa dar anijulishe kwa kupitia hapa jamvini au kwa simu no . 0712 926 823 asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kiwanja maeneo ya Arusha chenye ukubwa wa hekari mbili. kwa mwenye nacho au kama unajua kiwanja chochote kinachouzwa chenye ukubwa huo tafadhali usisite kuwasiliana nami kupitia anwani...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
3GB ram 320 hdd dual core 2.2 DVD-RW Bluetooth 15.4 widescreen Bei 680,000/= nicheki kupitia 0655003510 kama uko serious na mzigo
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Wakuu nimeweka mahesabu lakini hayaingii kichwani! haya naombeni saada sasa! Eka moja = sqm?? na kama ni mraba Upana?? * Urefu?? upimbi wangu unaniambia kuwa eka moja ina sqm 4000, this will give...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
bold 9780 ni 480,000 na bold 9000 ni 300000. Nicheki 0655003510 kama serious unahitaji.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nauza nokia E6 original,nimetumia kwa muda wa wiki moja tu, iko katika hali nzuri kabisa, bei 450,000/- atakayehitaji 0766606576
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, kutokana na wingi wa bidhaa hii hapa nchini naomba kujuzwa wapi naweza kupata genuine solar equipments kwa bei reasonable. ninayoweza kupower nyumba yangu kwa ac maana yake nahitaji...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
I am selling old computers, UPS, a photocopier, and printers. I was using the equipment in my 'stationery' business. They are not in perfect condition but they can be repaired and used or...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nina simu Nokia n73 symbian os orijino,nimeichoka kuitumia na ipo katika hali nzuri natafuta mtu wa kubadilishanae na simu nyingine,yoyote anijulishe ana simu gani tumadilishane!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
specification 250GB hard disk 4GB ram Core i3 DVD-RW 8luetooth Card Reader Bei 700000. Call 0655003510
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HAPPY NEW YEAR 2012 Wale wataalamu wa I.C.T wanashughulika na huduma zifuatazo;- - HOME SATELLITE DISH - COMPUTER MAINTANANCE and REPAIR - CCTV CAMERA INSTALLATION - DATABASE DEVELOPMENT and...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalimu wajameni, Naomba mwenye ufahamu ni wapi ndani ya bongo (Dar) naweza kupata GPS (Global Positioning System) anielekeze ninahitaji kupata kadhaa. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Dio pamoja na blog yenu ya http://gshayo.blogspot.com inakutakieni kheri ya mwaka mpya wa 2012
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta Platz ya kununua yenye 900-1400cc.Kama si hyo basi saloon car yeyote lakn bei isizidi 6 mil.
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Habari wakubwa, Blackberry 9300 3G kwa 320000/= unaweza upgrade to OS6 Blackberry 8520 kwa 230000/= Simu zote ni mpya na original kabisa. Nipigie 0655003510
0 Reactions
2 Replies
2K Views
title inajieleza. model of the router ni 850 series. nimeitumia kwa mwaka mmoja call me if u are serious and you know the device...0752 857134
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji external HDD 500GB ya kununua nikipata Transcend itakua mzuka zaidi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wakubwa heshima kwenu,jana katika pilikapilika eneo la gerezani kkoo-dsm, nilisahau mkoba uliokua na laptop mini hp pamoja na documents nyingine,niligundua baada ya masaa mawili na niliporudi pale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote ambaye ana simu ya nokia 5130-express music,ambayo kioo/display yake imevunjika anitafute nitampa bure ipo kwenye simu yangu ambayo ilizima tu ghafla ila display ni nzima,cha muhimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…