Tunatoa huduma ya kufua, tunakufata hapo ulipo

FUA NASI DAR

Member
Aug 18, 2023
15
5
Hello naitw pendo namiliki KIKUNDI kidogo kinachojihusisha na masuala ya kufua nguo.

Duduma zetu tunatoa kwa njia ya mawasiliano.

Tuanakufuata ulipo ndani ya dar es salaam
Bei zetu ni kuanzia 10000 kwa nguo Tano
Karibuni sana kwa mawasiliano

0612964910
 
Hello naitw pendo namiliki KIKUNDI kidogo kinachojihusisha na masuala ya kufua nguo
Duduma zetu tunatoa kwa njia ya mawasiliano
Tuanakufuata ulipo ndani ya dar es salaam
Bei zetu ni kuanzia 10000 kwa nguo Tano
Karibuni sana kwa mawasiliano

0612964910
Punguzeni bei mpate wateja wa kutosha kuna wenzenu wanafanya mpaka 5000 nguo 10
 
Hello naitw pendo namiliki KIKUNDI kidogo kinachojihusisha na masuala ya kufua nguo.

Duduma zetu tunatoa kwa njia ya mawasiliano.

Tuanakufuata ulipo ndani ya dar es salaam
Bei zetu ni kuanzia 10000 kwa nguo Tano
Karibuni sana kwa mawasiliano

0612964910
Bei kubwa. Fanyeni mia tano kwa ñguo moja. Au mnakuja na maji , sabuni na vyombo vya kufulia?
 
Punguzeni bei mpate wateja wa kutosha kuna wenzenu wanafanya mpaka 5000 nguo 10
Kwanza karibu boss wangu
Pili inategrmea na nguo kwanfano mashati hatuwezi kufanya kwa Bei hiyo
Ila Kuna nguo kama jinsi nashuka inastahili elfu 10 boss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom