Habari,
Nahitaji kununua line ya u wakala wa tigo pesa na M pesa kwa mtu yeyote alieshindwa biashara......
Hii ni kutoka na que kubwa ya wateja kwa ajili ya kupata uwakala M pesa na mimi nipo...
Nyumba yenye eneo kubwa kabisa inaunzwa
Ukubwa wa kiwanja ni 60x120
uwanja wote umezungushiwa ukuta nageti
nyumba ina
4 bedrooms
1 kitchen
1 dinning room
1...
House for Sale in Block G, Plot na.1417 Tegeta (Ma site) Kinondoni Municipality DSM
Size:1291M2
Guide Price: Tshs.350,000,000 ( milioni mia tatu na hamsini)
Description: It is very private and...
Jamani natafuta nyumba ya kupanga nhc vyumba viwili au vitatu eneo lolote lakini isiwe mbali na mji dar-es-salaam najua kuna madalali wa hizo nyumba hapa ebu nisaidieni. Commision ni nzuri ina...
Nyumba inauzwa,ina vyumba vinne, dinning, master bedroom na garaje imekamilika mpaka linta bado kuezeka tu,ipo kwenye uwanya wa m 35 kwa m103. Tafadhali wasiliana nami kwa 0763894508,. ni km 6...
jamani kuna iphone 3g 8 GB ipo kwnye state nzuri ila ina screen ina scratch kidogo ila hilo halina tatizo price ni 170,000 if intersted pm me mzigo upo dar,have a nice day ladies and gentlemen
stallet Mashaalah inauzwa, iko Magomeni Dar...
Iko na Boby pamoja na engen boomba kabisa.
Seat cover zimesimamia kucha.
Redio ya ukweli.
Haidaiwi chochote.
Tyre na Rim narenare zinaita...
Wakuu bwana yesu asifiwe!
Natafuta mtu yeyote yule anayeuza simu ya nokia E61 tufanye nae biashara. Mimi nipo moro na nina pesa cash so mweye hiyo simu please naomba ani-pm.
Ahsanteni na...
Na Mimi pia natafuta nyumba ya NHC vyumba viwili sitting Jiko na Choo iwe ubungo kinondoni mwananyamala upanga ilala atakayeipata ya NHC nami nampa 500,000/ Commission
Ipad 1 used lkn haina scratch 16GB haina camera wala haitumii line ni wi-fi ipo ktk condition nzuri kuanzia 450,000 km upendezewa naomba tutaftane ktk 0712000119
Wadau,
Nina gari inakuja mwisho wa mwezi huu, ipo kwenye meli.
Naomba recommendation ya clearing agent mzuri based on your experience.
Jamaa niliokua nawatumia wamekua kichefuchefu, so sitaki...
Hii habari ni kweli na hakika kama unataka nyumba ya vyumba 3 mpaka 6 vya kulala kwa bei ya mil 15 mpaka 25 tuwasiliane . nyumba hizi zipo katika maeneo 2 mwananyamala na buguruni .zote magari...
Habari za kazi wakubwa,
Mpangaji wangu amepata transfer ya ghafla kurudi nchini kwao hivyo ameniachia furniture zake zikiwepo sofa hizo hapo chini kwenye picha nimuuzie.
Bei ya kuuza ni Milioni...