Nyumba na uwanja vyauzwa mil 47, mbezi makabe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba na uwanja vyauzwa mil 47, mbezi makabe

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ANDENDEKISYE C, Aug 14, 2012.

 1. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyumba inauzwa,ina vyumba vinne, dinning, master bedroom na garaje imekamilika mpaka linta bado kuezeka tu,ipo kwenye uwanya wa m 35 kwa m103. Tafadhali wasiliana nami kwa 0763894508,. ni km 6 kutoka stendi ya Mbezi mwisho. ipo Mbezi makabe. (Picha nitaweka muda si mrefu, kwa sasa mtandao unasumbua), au ukitaka picha ni pm nikutumie kwenye mail yako.
   

  Attached Files:

 2. N

  Ngahekapahi JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  weka picha mkuu
   
 3. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Picha imeshawekwa sasa wadau wangu, mwenye kubahatika, 0763 894508
   
 4. W

  Wenger JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  6km! mbali sana kutoka main road
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145

  Kwa hiyo unamshauri vipi? aisogeze kidogo?
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ande, Ina Hati? Au Offer?
  Kuna umeme karibu?
  Maji?
  Barabara?
  Makazi?
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Hah hah isije ikawa nyumba imejengwa kwenye njia kuu iendayo Wazo Tegeta au isije kuwa kwenye njia ya bomba kuu la mafuta kutoka Zanzibar teh teh
   
 8. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuweeni Malibu.tieless kwa niƱo unauza???
   
 9. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Unataka iwe karibu na main road kwani hiyo nyumba ni kituo cha traffic?
   
 10. W

  Wenger JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Miundombinu tu, six km kutoka mbezi mwisho ni polini huko
   
 11. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kwa taarifa zaidi, kiwanja hakina hati. lakini nyumba ipo katikati ya eneo zuri, umeme upo karibu pia. Natumai taarifa hii itasaidia.
   
 12. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama nilivyoelezea hapo juu, eneo lipo km 8 tu toka kituo cha mbezi mwisho
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Du yani pori na pagale ni mil47?? Job true true!
   
Loading...