Toyota Stallet inauzwa...hebu soma madikodiko yake kwanza...enter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota Stallet inauzwa...hebu soma madikodiko yake kwanza...enter

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Gang Chomba, Sep 11, 2012.

 1. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  stallet Mashaalah inauzwa, iko Magomeni Dar...
  Iko na Boby pamoja na engen boomba kabisa.
  Seat cover zimesimamia kucha.
  Redio ya ukweli.
  Haidaiwi chochote.
  Tyre na Rim narenare zinaita.
  Colour ni Dark Green.
  wallah wanasema ''Kula uhondo kwataka matendo, asie matendo hula uvundo''...
  Gari inauzwa Milioni 6 tu.

  Picha ntaiweka muda si muda ingawa haiwekwi mafuta wala huwezi kuifungua milango.

  0767666001
  Shifta msomali toka pwani ya Baidoa, alieweza kuuza Meli, itakuwa hii?
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  I'll be back!!
   
 3. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mbona madanga chee kibao, kama wale jamaa wa bidhaa za promotion
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Innovative...
   
 5. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Acha promo,weka picha kwanza ndio tukuelewe!
   
 6. R

  Renegade JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Picha?!!
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shida unajipakulia pilau sana, maneno inatakiwa yaendane na vitendo wapi picha ili tusadifu unayosema ni ya ukweli?????
   
 8. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Una maana ya starlet gari au kale ka kamchezo ka wale jamaa wa pwani siku hizi wanaita starlet? Nifungue mkuu, ushamba huu mweee!
   
 9. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Kasema Picha haijazwi mafuta wala huwezi kuifungua Milango.
   
 10. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  weka detail za msingi km melage, transimition, imezaliwa lini, imeingia lin nchin, hali yake ya kiafya, iliwahi kugongwa au kubadilishwa rangi, kwa nn unaiuza nk, nk PICHA MUHIMU
   
 11. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  waungwana nahaha kuiweka picha lakini kwa kuwa natumia Simu yanipa tabu.
  nashukuru kwa wale walionipigia na kuomba ramani ya kufika alipo mwali ili waje wamwone kwa macho.
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  More Details to come...
  Ila Dhumuni la kuuzwa ni mzungu kaungama so anaiuza ili arudishe heshima Bongo kwa siku kadhaa kisha arudi zake unyamwezini akaendelee kubeba boksi.
   
 13. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbona mbwebwe nyingi badala ya kuweka picha watu waone? Au hiyo gari ni mkweche ndiyo maana unaipigia debe hivo?
   
 14. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  no comment
   
 15. N

  Neylu JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Maelezo yote hayo yanakuwa kazi bure kama Picha hakuna... Acha maneno mengi weka Picha..!
   
 16. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  the Deal is off..
  Chombo kishauzwa
   
 17. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Nilitaka kushangaa, uuze meli alafu ki-starlet kikusumbue? We kweli noma. Je, unayo Toyota Raum?
   
Loading...