Suzuki carry Inauzwa

Suzuki carry Inauzwa

Clarity

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2010
Posts
1,957
Reaction score
2,889
ninauza Suzuki carry iliyoingizwa nchini hivi karibuni namba ya usajili ni T......CBN ni 4WD
mwenye kuhitaji awasiliane nami (Dalali Hana nafasi)
 
ninauza Suzuki carry iliyoingizwa nchini hivi karibuni namba ya usajili ni T......CBN ni 4WD
mwenye kuhitaji awasiliane nami (Dalali Hana nafasi)

wadau wakija wataanza kuuliza picha ziko wapi!!!unaonaje ukiweka kabisa kabla hujaulizwa kuhusu hilo!!!
 
nimetuma hii post kutoka kwenye simu nashindwa kuattach picha kutoka kwa iPhone bei ni7.5M not negotiable Kama mtu yupo interested aniPM nitamtumia picha kwenye email ni rahisi zaidi kwenye email au Kama kuna mwenye kujua namna ya kuatach pics kutoka kwenye iPhone kuja Jamii anijuze
Thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom