Kununua line uwakala wa tigo pesa/ mpesa

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Habari,

Nahitaji kununua line ya u wakala wa tigo pesa na M pesa kwa mtu yeyote alieshindwa biashara......

Hii ni kutoka na que kubwa ya wateja kwa ajili ya kupata uwakala M pesa na mimi nipo tyr kuanza biashara wakati huu

Pia Tigo pesa wamesimamisha usajili wa mawakala kwa sababu zao za kiutawala

PS: nimeambiwa kununua line ya mtu na kisha kubadili jina la wakala inawezekana

Asanteni
 
Back
Top Bottom