Natafuta nyumba ya kupanga nhc udalali kuanzia 500,000/=

SYENDEKE

Senior Member
Jul 18, 2011
169
26
Jamani natafuta nyumba ya kupanga nhc vyumba viwili au vitatu eneo lolote lakini isiwe mbali na mji dar-es-salaam najua kuna madalali wa hizo nyumba hapa ebu nisaidieni. Commision ni nzuri ina tegemea na eneo lenyewe
 
Udalali kwenye nyumba za nhc ni rushwa hiyo (sawa na takrima kwa tafsiri ya ccm). Sasa ondoa figure kwenye title, manake rushwa haitangazwi hadharani ni kukosa maadili.
 
Udalali kwenye nyumba za nhc ni rushwa hiyo (sawa na takrima kwa tafsiri ya ccm). Sasa ondoa figure kwenye title, manake rushwa haitangazwi hadharani ni kukosa maadili.

acha hizo bwana huo sio rushwa coz simwibiiiiii mtu haki yake hapo au kuna kitu na by pass ebu tanua fikra zako bwana is just the matter of commision na zile nyumba za mtaani unazo weka udalali. nenda kasome vizuri maana ya Rushwa
 
Back
Top Bottom