Nyumba ya kisasa inapangishwa maeneo ya tegeta masaiti, nyumba ina master1 kubwa, vyumba3, sebule kubwa, dining, jiko la kisasa, public toilet, fensi, tiles, garden, maji na umeme vipo bie yake...
Ndugu wan JF naomba msaada kwa yeyote yule anayefahamu sehemu ambayo ina mashamba ya umwagiliaji kwa mikoa ya Dar es salaam na Pwani nahitaji kuanzaisha kilimo cha umwagiliaji wa mbogamboga...
Kiwanja kiko Kibamba ni nusu eka, hakijapimwa ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba na kuna umeme karibu na maji ya bomba kama utahitaji kutumia hizo huduma. Muuzaji ni mimi mmliki wa kiwanja na sababu...
Wapi ndani ya jiji la dar naweza kuwapata watengenezaji/wauzaji wa mifuko ya size mbalimbali kwa ajili ya kupaki bidhaa za aina mbalimbali kama mchele, maharage, vitunguu. Zaidi zaidi nataka...
Eneo zuri lenye ukubwa wa heka 2 linauzwa maeneo ya Kimbiji Kigamboni (35 km from Kigamboni Ferry) karibu na Kidagaa Beach, eneo la Mikenge.
Ni shamba zuri ambalo lipo mita chache kutoka ufukwe...
Habari wana JF.
Mimi ni kijana ninayeanza ujasiliamali, na hivi karibuni nimeanzisha biashara ya M-pesa na nafaka hapa Iringa. Napata wateja wengi sana kuliko uwezo wa mtaji wangu, nahitaji...
wadau naomba mnijulishe; Je kuna mahindi maalumu ya kutengezea bisi za biashara (yaani kuuza)?
Kama kuna mahindi maalumu yanapatikana wapi kwa bei gani?
Kiko maeneo ya tegeta njia ya kwenda wazo wanaita tegeta kwa makamba...ni eneo zuri,maji na barabara pouwa..nauza kwa vile uwezekano wa kurejea bongo kwa wakati huu ni mdogo...ukubwa ni nusu eka...
Jamani nahitaji kununua samsung galaxy tab online toka china. Naomba mwenye ufahamu juu ya online shopping anisaidie ni website gani ambayo ni reliable coz scammers nao ni wengi siku hizi.
Kwa yeyote anayejua source au origin au yanakotokea (mkoa, wilaya hata ikiwezekana vijiji maarufu kwa kilimo cha) matikiti na mapasion yanayoletwa hapa Dar es salaam.
Wadau nimeagiza gari BMW X5 ya mwaka 2001Nimenunua USd 9500. usafiri nimelipa USd2000 itawasili muda si mrefu.Kwa uzoefu wenu wadau nijiandae Tsh ngapi gari niwe nalo street. kwamaana ya kodi...
Ipo hii habari.
African budget airline start-up FastJet is to establish its first operating base at Dar es Salaam in Tanzania.
The airline, which has backing from easyJet founder Sir Stelios...
Mashine za bakery zinauzwa
Nauza mashine za bakery ambazo nilinunua uingereza zilizotumika.Mashine hizi nilinunua kwa ajili ya kuzifanyia kazi lakini sikufanikiwa kufungua kutokana na sababu...
Mashine za bakery zinauzwa
Nauza mashine za bakery ambazo nilinunua uingereza zilizotumika.Mashine hizi nilinunua kwa ajili ya kuzifanyia kazi lakini sikufanikiwa kufungua kutokana na sababu...
Je kuna mahindi maalumu ya kutengeneza bisi (pop corn) ambazo ni kwa ajili ya kuuza (kwa ajili ya biashara ya pop corn) au mahindi yoyote yale yanaweza kutumika kutengeneza pop corn?
Kama yapo au...
Kama kuna mtu anafahamu duka hapa Dar linalouza leather halisi ya kutengenezea sofa,pia kama kuna mtu anamfahamu fundi wa kutengeneza au kukarabati sofa ambazo kitambaa chake ni leather,nahitaji...
karibu kwenye blog yetu iliyoandaliwa na kutengenezwa na TZ BLOG DESIGN,Utapata bidhaa zote hususani simu kama vile HTC,BLACKBERRY,SAMSUNG,NOKIA etc,pia LAPTOP and other electronics ,PIA UNAWEZA...
Habar wakubwa, kama nilivoelezea hapo juu me naondoka kesho kwenda south kwahiyo mwenye kuweka order ya vitu hivyo plus flat screens za ukweli please tuwasiliane kwa mail baraka607@gmail.com hii...