Up for SALE TSH 450,000
Used for few weeks now i got new ACER LAPTOP so im throwing this away
It is USED but no single SCRATCH on Screen nor Cover or any where
Acer Aspire One D257 with window 7...
Wadau wa JF ninauza microscopes mpya aina ya OLYMPUS with one year warant,na pia nachukua oda kwa vifaa vya maabara na mahospitalini.bei ya microscopes ni 1.6milion tu ni double power,znafaa kwa...
kama inavyoonekana nyumba ipo madale goba mpakani
ukubwa wa eneo ni robotatu ekari
kuna tofali
limepakana na barabara
nyumba ina:
Master
vyumba vitatu vyoo na bafu vya ndani
jiko na store
sebule...
Kuna mtu anahitaji kuanza hii biashara wakuu,anahitaji kuku wa kienyeji machotara wanaokaribia kuanza kutaga kama 40 hvi,mwenye nao au kujua wanapopatikana msaada tafadhali
Sent from my...
Nyumba inauzwa ipo buguruni chini ya mafleti ya polisi nyuma ya hasband bar. mambo ya mahakamani tumemaliza na Ina hati ya makazi. Piga simu: 0754 282633 0784 282633,
Habari wakuu,
Samsung Galaxy Tab 10.1 ya 32GB, inasupport Wireless na Sim Card (3G) naiuza kwa TZS. 750,000/= tu. Ni used toka nje na haina scratch hata kidogo wala shida yoyote.
Call me: 0655...
Robert Kiyosaki, author of the bestselling Rich, Dad, Poor Dad series of financial advice books, is offering his fans yet another lesson in how the rich are different than you and me: they file...
Wadau, kuna vyumba-self contained vinapatikana mita 300 kutoka Tumaini University Iringa. Nyumba ina maji, umeme na mlinzi.
Kila chumba kina vitanda 3, double deck na kitanda kingine kimoja kwa...
Mitsubishi Fuso Mwaka 93, engine 6D14, tonne 7, ina tipper (tipping gear), ipo Zanzibar na imeshalipiwa kila kitu. Imeingia nchini karibuni na haijatumika. Engine ipo fresh sana, nenda ukaione na...
Mzigo mpya wa Spea za Laptop/ Kompyuta umewasili. Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri...