K Kabachubya Member Oct 6, 2009 87 10 Oct 2, 2012 #1 Mambo vp wana JF? Nauza Duet Cc 900, ODO 68,700 kms iko kwenye ubora. Bei ni Tshs milioni 5.5 tu. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba; 0717 123464 au 0762 101178. Karibuni sana. Attachments DSC05680.JPG 341.2 KB · Views: 116 DSC05682.JPG 360.2 KB · Views: 76 DSC05686.JPG 315.8 KB · Views: 71
Mambo vp wana JF? Nauza Duet Cc 900, ODO 68,700 kms iko kwenye ubora. Bei ni Tshs milioni 5.5 tu. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba; 0717 123464 au 0762 101178. Karibuni sana.
M-bongotz JF-Expert Member Jan 7, 2010 1,734 405 Oct 2, 2012 #2 Tuanze kushirikiana kwa kupunguziana bei basi nina 4m
Ngongo JF-Expert Member Sep 20, 2008 18,919 31,161 Oct 2, 2012 #3 Kanaonekana kapo vizuri ngoja nitakuulizia kwa mdada mmoja alikuwa akitafuta gari sema mshiko itabidi ushuke kidogo.
Kanaonekana kapo vizuri ngoja nitakuulizia kwa mdada mmoja alikuwa akitafuta gari sema mshiko itabidi ushuke kidogo.
K Kabachubya Member Oct 6, 2009 87 10 Oct 2, 2012 Thread starter #4 bei iko poa mbona? mwisho kabisa milion 5,