habari wana jf . nauza kiwanja changu kinachopatikana mbezi mji mpya karibu na stendi ya magufuli terminal. kiwanja kina ukubwa wa futi 60x50 average sio square.
Bei ni 15,000,000 maongezi yapo...
Nauza Shamba hekari mia moja(100) lipo Mkoa wa Singida Wilaya ya MANYONI. Shamba lipo Kilometa Saba(7) kutoka Manyoni Mjini ni mwendo wa barabara ya lami na pia Shamba kutoka lami kuingia shamba...
MODEL: Boxer
MODEL NUMBER: BM 125
LOCATION: Tegeta, DSM
Iko vizuri kabisa na ENGINE haijawahi kuguswa
Ina registration card
BEI: 1,100,000/= maongezi yapo
NICHEKI PM KWA MAWASILIANO ZAIDI
MITAMBO YA BIOGAS
Karibuni , Tuwajengee mtambo wa Biogas kulingana na Mahitaji yako, iwe nyumbani, mashule, Bar, . Mitambo hii inatumia vinyesi vya wanyama, Kama ,ng'ombe, kuku,kondoo na wanyama...
Nyumba ni ya pili kutoka lami na ina vyumba 4 vyote ni self.
Ukubwa wa Eneo ni 4200 sqm
Nyumba ipo kwenye Eneo kubwa na kama inavyoonekana kwenye picha kuna shamba pia.
Hati ipo.
Bei 370m...
Tunatengeneza Mabango Ya Designs zote Mfano Banner 3D 2D n.k Mfano wake upo Chini, tunapatikana Sinza Mori Karibuni sana size na bei ni tofauti kulingana na ukubwa wa bango unalohitaji.
Kwa...
Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm.
Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale.
Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25)
Kina hati ya wizara.
Contact : 0742141467
Huduma zetu
TUNATENGENEZA MABANGO YA AINA ZOTE
- Signages
- Mabango ya 3D
- Mabango ya Taa (Box Lights)
- Mabango yakawaida
Tunaprint:
T-shirts, Business cards, Sticker za aina zote Vinly...
Je, wewe ni mmiliki wa kampuni ya kibiashara ndogo na ya kati?
Je, katika Biashara yako unatumia teknolojia mbalimbali au unahitaji kutumia teknolojia mbalimbali?Kama Jibu ni ndio basi wasiliana...
Hello there !
Niko Mbeya, katika Uzi huu ntakuwa naweka bei za vyakula
Mbalimbali kutoka Mbeya, kama mtu unataka utawasiliana
Na Mimi,makubaliano yatakuwa hivi, mi nitaweza kukuagizia
Kuanzia...
SHAMBA LINAUZWA
[emoji3534] Ekari ~5
Shamba Lipo Lulembela ~bugalagala
Mita 500 kutoka bara bara kuu
[emoji778]Linafaa kwa kilimo cha bustan (nyanya,tikiti n.k)
[emoji3534] price 4,000,000/=...
Wakuu salama kama kichwa kinaojieleza hapo juu tunatoa huduma ya kusafisha masink yalyofubaa kwa wakazi wa jiji la dar es salaam tunakuja popote ulipo ndani ya jiji hili.
Gharama ni 10k kwa vyoo...
Habari wana JF
Natafuta kiwanja eneo la Goba Dar Es Salaam chenye ukubwa wa medium au low density, pia kisiwe kwenye mwinuko mkali. Mwenye kuwa nacho anipm pamoja na bei anayokiuza.
Natanguliza...
Nahama mkoa nauza chap hivyo kwa mwenye uhitaji
KITANDA CHA CHUMA 5X6 NA CHAGA ZAKE BEI 140,000 TU
FRIJI KALI LA MTUMBA MADE IN SOUTH KOREA BEI NI 180,000 MASHINE YAKE HAIJAWAHI KUGUSWA WALA...
Kampunia ya Aquagreen LtD inakutangazia huduma ya (soil testing) kwa Gharama nafuu na lwa Haraka sana .
Kwa migodi tunafanya testing ya:
Gold
Copper
Silver.
Rare earth metals
Pia soil testing...