Kwa wale wanotaka kufanya ujasiliamali kwenye biashara za kusaga semba, kutengeneza juisi za matunda, na aina mbali za mashine tafadhali fungua kiambatanisho,
incubator ya mayai kuanzia 24-1054
pamoja na kinu .kwa bei ya jumla
mayai 1054 ni 1
mayai 284 ni 2
mayai 164. ,ni 3
mayai 24 ni 2
zote ni full automatic made
in china CE aprroved
kwa bei...
just imported from japan ,72,000kms
year of manufacture, 1997, super roof
duty paid, price includes registration and number plates
price 12m
call 0715 881881
habari wakuu,.. Mwenye nokia n8 iliyo in mint condition ''with no scratches on it's screen'',..
Nahitaji kununua hiyo simu jameni...
*my budget is 250k.....PM me please
Kuna viwanja viwili vimepakana hapa Muleba Mjini ambapo kimoja kina ukubwa wa 10,815 m2 na kingine kina ukubwa wa 11,715m2. Viwanja hivi vinauza kwa bei nzuri sana. Kama kuna taasisi au mtu...
eneo linauzwa burka estate block a ( satelite city ) urefu hatua 70 na upana hatua 40. bei ni 75m ila maongezi yapo kwa mtu aliye serious . kwa mawasiliano zaidi tuma PM
new nissan xtrail just imported from japan for sale at 20m,
2000cc
82,000kms
duty paid
price include registration and number plates.
interested buyer call 0715 881881
Solar Chargers kwa ajili ya simu, digital camera, PDA, MP3 na MP4 zinapatikana. Ina pini tofauti kwa ajili ya simu mbalimbali. Bei ya rejareja ni TZS 25,000. Bei ya jumla ni TZS 20,000.
Okoa...
-Imejengwa katika kiwanja # TB/TK/89
-Iko umbali wa kilomita moja kutoka Mwananchi MCL au SDV-AMMI pia kupitia Tabata Mawenzi, kituo cha Savanna, umbali ni huo huo wa Kilomita moja
-Ni nyumba...
Wadau mimi natafuta Minbus Toyota HIACE iliyotumika lakini ambayo ipo katika ali nzurikwa vigezo hivi:-
Air con
Body isiwe imegongwa vya kutisha!
Super roof
Engine iwe nzuri siyo imefanyiwa...
Nauza Tv LCD Flat Screen ,aina ya TCL ,INA UKUBWA WA INCHI 24 BEI NI TSHS 350,000/= MAELEWANO YAPO,NI USED INA WEZA KUTUMIKA KM SCREEN YA COMPUTER IKIUNGANISHWA NA CPU.TUWASILIANE KUPITIA NAMBA...
Ps3 slim inauzwa 390,000tsh
tatizo lake ni disc tray tuu....ku remove cd vizuri, ndo maana naiuza...apart from that kila kitu kiko freshi, padi na wires zake zipo, na cd kibao zipo....any problem...
Nahitaji mtaalam wa mambo ya umeme ambaye anaweza kunibadilishia mashine washers na Driers na zile za kutotolea vifaranga vya kuku ambazo nimezinunua Marekani. Zote zinatumia umeme wa 110V...
Naomba ushauri kwa wenye utaalam ni aina ipi ya acoustic guitar nzuri inapatikana madukani hapa dar na ni vitu gani vya muhimu kuangalia wakati wa kuchagua guitar.Mimi si mtaalam, just najifunza...
Habari zenu wakuu,
Chumba kimoja self contained (chenye choo & bafu) jijini dar es salaam kinahitajika chenye mazingira na mandhari mazuri......kodi ya chumba inatolewa ya mwaka mzima. Yeyote...