Natafuta Toyot Hiace super roof!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wadau mimi natafuta Minbus Toyota HIACE iliyotumika lakini ambayo ipo katika ali nzurikwa vigezo hivi:-

  • Air con
  • Body isiwe imegongwa vya kutisha!
  • Super roof
  • Engine iwe nzuri siyo imefanyiwa overhaul mpaka size ya mwisho 75 size.
  • 2L,3L na ofa yangu ni Tshs, 10,000,000/
Mwenye nayo anipm kwa mawasiliano zaidi!

Asanteni Sana
 
Jua unataka ipi manual au auto,disel au petrol,maana hiyo ndivyo vikubwa vinvyoangaliwa wakati aw manunuzi,hiace dungu safi Kabisa ya Mwaka 2002 manual disel,5l engine ni dola 8500 bado hujaituma toka Dubai +ushuru,kwa ushauri zaidi SMS +971504374387...aksante
 
eti magari ya Dubai ni "3 in one" ?
 
eti magari ya Dubai ni "3 in one" ?

Unavyosema 3 in one sijakuelewa vizuri...Dubai hawatengenezi magari ni yaleyale ya Japan ila yanaletwa Hapa kuuzwa na yanaingizwa Hapa bila ushuru ndio maana bei Yake si Kubwa sana
 
Unavyosema 3 in one sijakuelewa vizuri...Dubai hawatengenezi magari ni yaleyale ya Japan ila yanaletwa Hapa kuuzwa na yanaingizwa Hapa bila ushuru ndio maana bei Yake si Kubwa sana

Dubai wanaagiza magari chakavu kutoka Japan .... wanayachambua 1. engine 2. chassis 3. body ..... na kuyaunganisha upya then wanayauza kama re-conditioned cars

umeelewa?
 
Si wote wanaofanya hivyo kuna showroom wanaochambua ni Sharjah sio dubai....asilimia Kubwa ya Dubai ni gari za moja kwa moja ila Kama unataka cheap utachambuliwa,ata uk utaratibu unaosema upo,ata Japan kwenyewe hasa wanaouza magari online wanaofanya hivyo...ndio maana huwa sipendi nunua gari online,
 
Sababu Kubwa ya kuyatenganisha ni kuweka ushuru uwe chini...maana utaingiza Kama spares na sio gari,ata showroom za dar watu ufanya hivyo..lakini Dubai uingiza bila ushuru sasa siku hi wanakwepa nini...aksante mdizi kwa mchango wako,
 
Back
Top Bottom