Natafuta mlinzi ila kutoka kampuni ya ulinzi, eneo la Gongo la mboto. Tafadhali mwenye kujua kampuni yoyote nzuri ya ulinzi eneo hili au karibu na hili - mwisho eneo la TAZARA. Natanguliza shukrani
Eneo lipo kibaha misugusugu hekali mbili liko barabarani hekali mbili na robo linafaa kwa sheli hata godown etc.....mwenye kuhitaji anipigie kwa namba hii 0713935738
Kwanza kabisa nafahamu madalali watakuwa wakwanza kunijibu na kunipeleka sehemu ambazo ziko kwenye mpango wa kutouzwa.
Kwa hiyo nawakanya mapema maana nishapelekwa sehemu nikaokolewa na mwenyeji...
WANA JF naamini kuna wataalamu wengi tu wanayoyafahamu vizuri magari haya Toyota GAIA na Toyota OPA,naombeni mnijulishe ubora/uzuri na ubaya/matatizo ya magari haya bse nataka kuagiza. Natanguliza...
Dear Colleague JF Members,
Greetings to all, I expecting that this good news find you well.
I am writing this to you being an information that there will be a Research Methodology...
hello, natafuta nyumba ya kununua maeneo ya mwenge,savei, ubungo,kinondoni na tabata, bei ya mtanzania wa kawaida sina mamilioni jamani, budget ni 35-45 m.
Kiwanja kina ukubwa wa mita 30 kwa mita 20, kimepimwa na kina hati, kipo umbali wa km 2 kutoka barabarani kimepakana na kota za NSSF bei ni million 8. kwa anaekihitaji apige namba 0713872828...
Wana Jf habari zenu. Ninatafuta mashine ya kusagia karanga inayo tumia umeme ambayo isha tumika yani Used iwe tu katika hali nzuri pia kwa bei nafuu ili niokoe mladi ya mladi imekufa msaada...
The First, Mjimwema Pharmacy is now for sale, the pharmacy is strategically located at a busy junction of kongowe and gezaulole roads at Mjimwema,Kigamboni.
Price is negotiable, for serious...
Wakuu heshima mbele.
Kuna viwanja vilivyopimwa vinauzwa Mkuranga kuanzia square meter 500 hadi 1000 na kila square meter moja ni shilingi 5,000/= . Kwa mawasiliano pm inahusika zaidi
Nawasilisha
Blackberry Bold 9000 (QUICK SALE)
Special price 200,000tshs only !!!!
(phone excellent condition, housing needs to be changed)...
price is throw away and wont stay same for long!
call 0784768786
UNATENGENEZA NYUMBA ?
TUNA DEAL-
* MADIRISHA ZA ALUMINIUM NA ZA UPVC.
* TILES NA SANITARY
* WOOD FLOORING
* GLASS BLOCKS
* SUSPENDED CEILINGS
NA NK.
WASILIANA-
inf@decortz.com
0655 76 87 86.