Eneo linauzwa kibaha misugusugu barabarani hekali 2 na robo.

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
225
Eneo lipo kibaha misugusugu hekali mbili liko barabarani hekali mbili na robo linafaa kwa sheli hata godown etc.....mwenye kuhitaji anipigie kwa namba hii 0713935738
 

kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,610
2,000
kwa nini unakuwa muoga kuweka bei?ukiwa mfanya biashara unatakiwa ujiamini.weka kila mtu aone,mwenye interest atapiga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom