Mkuu kuna nyumba ndani ya kiwanja cha robo eka Chanika kinauzwa eneo ni zuri sana lenye umeme, unaweza kuikarabati hiyo nyumba au kuiongezea ukubwa kadri unavyopenda au hata kujenga nyumba nyingine kubwa pembeni yake kwenye kiwanja hicho hicho kilichobaki, bei mnaweza kuelewana ukalipa hiyo uliyonayo na kuchukua kisha utamalizia nyingine baadae kwa muda wako maana bei imezidi kidogo milioni kumi ila ni mjini tu na wala hutajutia uamuzi wako maana huduma zote zipo na ni karibu na barabara, mwendo wa dakika tatu hadi tano kwa miguu kutoka kituoni Chanika kwenye barabara ya rami. Piga namba 0715 597591