Nauza samsung smart tv ue22es5400 new

Nauza samsung smart tv ue22es5400 new

baghozed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
532
Reaction score
97
ni mpya na ni digital tv with freeview,Wifi,LAN,2usb port wapata baadhi ya channel bila king'amuzi bei ni laki 8 tu.
nicheki kwa 0655 44 44 40
 
Hiyo Bei ni Ndefu sana. Kwa Laki 5 tuwasiliane. Kama ni 32 Inch. 0715 240140

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ni mpya na ni digital tv with freeview,Wifi,LAN,2usb port wapata baadhi ya channel bila king'amuzi bei ni laki 8 tu.
nicheki kwa 0655 44 44 40

haina size mkuu?
 
hizo channel ni zipi, je ni za kichina au kihindi? then ina support kila mahali? au ndio sawa na kuuziwa simu chini ya mnara?NB: Kumbuka kuwa tupo digitali
 
Back
Top Bottom