Wakuu nauza kiwanja chenye nyumba ndogo yenye vyumba viwili na sebule cha ukubwa wa robo eka Chanika karibu na kituo cha daladala cha Chanika. Eneo ni zuri sana watu wamejenga majumba mazuri ya kifahari. Ninauza kwa sababu ya matatizo tu ya dharura yaliyonitokea. Bei yake ni sh. milioni 15. Bei inaweza kupungua kwa majadiliano kwa yeyote atakayehitaji tuwasiliane kwenye namba hizi: 0715 597591 au 0712 994383 au 0652 506049. Picha nitawatumia baadae kidogo.