Nyumbainauzwa kimara baruti

Nyumbainauzwa kimara baruti

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Nyumba iko mtaa wa kimara baruti ni nyumba kubwa mpya na ina mabanda ya uani iko karibu na barabara
ya morogoro
bei inaanzia mil 65 sawa na bure mwenyewe anataka ahamie mkoani
cont.
0714812375
 
Sasa kama anahamia mkoani ndo auze? Kimara baruti, nyumba mpya kwa.bei hiyo?
 
Ni PM mie naitaka ila weka picha kabla huja PM.
 
ahaa haahaa ndugu yangu maisha haya sio tax driver wala gani....ni mtu kama wewe
 
unakaribishwa namba yangu unayo by the way
 
kitu cha thamani kama nyumba ni lazima uwe THOMASO ni lazima kuona kama kipo kweli au vipi msipende kuponda na kucoment vibaya...kumbukeni hii ni media kama media zingine like RADIO, TV na MAGAZETI pia ni lazima mjenge imani na imani yenyewe lazima ijengwe kisomi(kufuata mchakato wa ni kwa nini, kwa nani, na wapi) me naona sasa wengi wenu mnapageuza hapa kama kule kwenye jukwaa la UDAKU ingekuwa sio kweli na ni kizungumkuti ningali weka huko hii.
 
ni ya ndugu yangu kama unataka nakupa namba yake unaongea nae moja kwa moja NO mtu wa kati hapa na hakuna ubabaishaji...mambo yanafanyika kisomo zaidi
 
kivipi mkuu zichekeshe? kama mtu ana nyumba hapa mjini na familia kubwa halafu hana kazi, iweje aikalie tuu politik? nauza naenda jenga kwetu na mtaji wa kutosha kabisa kuliko kuendelea kujivunia nyumba mjini ilhali nafwa na njaa? AKILI kumkichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom