Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Plot inauzwa yenye ukubwa wa square meter 1540, ipo maeneo ya sinza kumekucha opposite lion hotel. Now inatumika kama garage, na hamna structure yoyote iliyojengwa,suitable for a hall,hotel or...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
natafuta housing ya samsung C6625. Fasta na cash ipo. Nicheck 0713807758
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na fensi vyumba vyakulala 3,na master lazima.iwe maeneo ya tegeta ama boko
0 Reactions
4 Replies
1K Views
You have bought products or services before and in turn you have talked about the products or services to friends and relative who went and bought the products, by doing this you caused extra...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hi ni kwa ajili ya biashara kwa yeyote mwenye nayo iwe used offer yangu inaanzia laki na kuendelea.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara ili tubadilishane vituo. Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Nyumba 2 zilizo eneo moja zinauzwa tegeta skanska, zina hati miliki ukubwa wa eneo ni sqm 739. kila nyumba ina vyumba 3 vya kulala vyote master jiko, dining, public toilet, sebule kubwa, parking...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei yake ni 2.5 mil. Manualy, 8 trays eg. 240 eggs. Contact 0713401812
0 Reactions
3 Replies
3K Views
KAMPUNI YA MMP INATANGAZA NAFASI MOJA YA KAZI YA U-SEKRETARI SIFA ~Awe na cheti cha kozi husika ~Awe anauwezo wa kuongea ENGLISH na KISWAHILI kwa ufasaha ~ Mwenye muonekano nadhifu ~Uzoefu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KAMPUNI YA MMP INATANGAZA NAFASI MOJA YA KAZI YA U-SEKRETARI SIFA ~Awe na cheti cha kozi husika ~Awe anauwezo wa kuongea ENGLISH na KISWAHILI kwa ufasaha ~ Mwenye muonekano nadhifu ~Uzoefu...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya ubungo hadi kimara baruti yenye vigezo vifuatavyo: Vyumba vitatu, kimoja master. Iwe na parking na iwe ndani ya fence Iwe na jiko dining na store Kodi...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Kiwanja/Nyumba inauzwa. Ipo Chang'ombe Maduka Mawili, Pembeni kabisa ya TCC Club. Ina Hati na doc zote za kisheria. Kiwanja kina ukubwa wa 381 Sqmtr. Bei 300M, Maelewano yapo. Wasiliana na Mmiliki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye nokia x2-01 hata used aniambie sh ngapi naitaka namba yangu ni 0755065418,ukiwa mwanza itakuwa vizuri zaidi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
iPhone 3GS 32gb inauzwa,ipo katika Hali nzuri...0718200777
0 Reactions
2 Replies
885 Views
Toyota rav 4l inauzwa..bei shiling 25 million..ipo kwenye hali nzuri sana km inavyoonekana kwenye picha!!imetumika kidogo sana..kwa maelezo zaidi wasiliana na mmiliki 0715890000 au nipm
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama unahitaji tuwasiliane kwa simu au ujumbe mfupi kwa namba hii - 0787 527394 Nauza Projector Mpya kabisa aina ya EPSON LCD EX 5200 ndani ya box lake original Gharama ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sofa zinauzwa. Ni za ngozi. Bei yake ni 750,000/- kwa zote. Anayetaka 0713401812. Jamaa ana hamia kikaz koani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna watu humu jf wanaweza kukupa oda ya mzigo alafu ukifika nao bongo na kumtaarifu anazima simu hapatikani? Wengine wanaweza kukupigia wanataka mzigo ukifika nao maeneo alio kuelekeza bila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba mbili kubwa za vyumba saba zilizo kwenye kiwanja kimoja zinauzwa pia kuna feremu nne zipo mbagala kuu,kwa maelezo zaidi piga 0718097972
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Acer aspire one mini, 320 gb, 2gb ddr 3 ram, webcam nd ts brand new ndani ya boxi, Bei laki saba Kwa wale wasoma hisabati(700,000) N:b Bei inashuka na kama kawaida tunakupa guarantee,ahsanteni!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…