Habari wakuu humu jf:nauza vifaa vyangu vya kazi yangu inayo niweka mjini ya uganga kama utanunua jumla basi nitakuongezea misukule mitatu kama nyongeza!
Kuna ilizi 8 nyekundu pembe ya nyoka vibuyu 19 venye uwezo wa hali ya juu na tv ya asili inayoshika digitali yenye ukubwa wa inch 3....vfuvu la marihemu