natafuta fenicha za ofisini used au mpya

natafuta fenicha za ofisini used au mpya

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
2,172
Reaction score
892
tumefungua ofisi mpya na hivyo tunatafuta

1.meza MOJA kubwa ya wastani yenye double droo kulia na kushoto ,bajeti yetu @ TSH 80,000/=
2.viti viwili vikubwa wastani vya kuzunguka, bajeti @TSH 50000
3.shelf mbili za vioo vya kuslide bajeti yetu @TSH 80,000/=

viwe vipya , kama ni used viwe kwenye hali nzuri , havina michubuko.

najua vinapatikana madukani, ila huko madukani bei ipo juu sana, na ofisi ni changa na mpya kwahiyo tukivipata kwa bei rahsi itasaidia kupunguza gharama.

Hatutaki vya uwizi. Kama unacho/unavyo labda ofisi mmefunga, imehamishwa au huwa unauza ni biashara yako tuwasiliane. au kama unayo taarifa ya mnada mhali fulani tujulishe tafadhali.

Tafadhali kama post haikuhusu ipitie mbali.



send me private message , au you can call or text me 0787-865-511
 
pale kigogo(round about) pana duka la fenicha used kwa bei hizo, duka lipo karibu na tuition centre ya kigogo village
 
pale kigogo(round about) pana duka la fenicha used kwa bei hizo, duka lipo karibu na tuition centre ya kigogo village

asante mkuu si ni pale round about ya kwenda magomeni/kigogo/boma?
 
Back
Top Bottom