Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 179
Habari zenu Wakuu,
najitokeza humu leo kuhitaji fremu/chumba cha biashara. Iwe ndani ya wilaya za aidha Temeke au Kinondoni.
Fremu hii isiwe kubwa saana wala kasiwe kadogo saana iwe ya wastani tu kwa ajili ya biashara ya bidhaa ndogondogo za majumbani.
Wasiliana nami kupitia email hii
manmasu61@yahoo.com