Used Furniture

Used Furniture

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
34
Wapendwa natafta used furniture za ofisini nataka viti,meza zenye droo, na kabati ya kuhifadhia documents ziwe kwa bei rahic mwenye Nazo anipm lakini sitaki za wizi,
Pia natafuta sehemu ya kurent space kwa ajil ya office sio kwenye haya majengo makubwa hapana kawe kajengo kabei rahic,maeneo ya mijini,asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom