Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mpyaaaa.Bei 1m tshs(one million shillings).Nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nanunua motherbord za computer..radio...Tv na sim zilizo kufa kwa wingi wowote ulio kua naao. Kwa mawasiliano ni sms au whatsapp kupitia namba hii ya simu 0713935738
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba hii inauzwa ipo vingunguti karibu na sheli jijini dar es salaam bei ni maelewano kwa mawasiliano zaidi wasiliana katika namba 076437001,au 0718 370001
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanaJF! kutokana na matatizo niliyoyapata katika Biashara zangu, natangaza kuuza nyumba ambayo ilikuwa bado kidogo kukamilika. imepauliwa, ina vyumba vya kulala vitatu, viwili ni futi 10...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Lg gw620 Rangi nyeusi Tach skrin na inaslid kwa pemben Maelezo IPO DAR ES SALAAM Legel information System tutorial Divx vod regislation Model numbel gw620 Firmware version 1.5 Kernel...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
used laptop lenovo t500 for sale specs: hdd 320 gb ram 4gb duocore processor @ 2.4 ghz call: 0714448864
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau anaehitaji hyo bidhaa aniPM...kitu brand new original kwa 850000
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Nauza gari aina ya Corrola X Ya mwaka Mwaka 2004 Kilometa 53,000 Engine CC 1500 Ni Mpya kabisa, ndo kwanza imetoka bandarini Kwa mawasiliano piga namba 0713-757491 NB: Hakuna udalali
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hi wale wenye iphone., ipad, ipodtouch hauitaji tena kununua apps from itunes nicheck kwa namba yangu nikufanyie mautundu upate vyote buree ada tutaelewana 0656 646141
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Aje aje wadau?. Natafuta desktop used la kuzugia aina ya dell yenye specification za kawaida tu. Lete biashara aisee
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Topic: Iphone 4s - 16gb for sale Califgoban 16:08 Today GENERAL SPECIFICATIONS iPhone 4S 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 CDMA 800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ina vyumba 3, master 1, sitting na dinning room. Ina choo cha nje na ndani. Ina fensi ya ukuta na geti kubwa. Ina maji na umeme. MAHALI ILIPO PANDA DALADALA ZIENDAZO MGENINANI (UKIWA MAENEO ZA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wanajamii incubator za umeme kuanzia mayai 264 kwa laki 9 na mayai 176 kwa laki 7 na mayai 24 laki 5 made in china aprroved na serikali ya china full automatic za zinachukua mayai ya kila aina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa natafuta simu yenye acces na internet kwa bei hapo juuu. nipo mwanza
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu kazi ninayofanya inahitaji gari ambalo lipo juu kidogo, so gx 100 inapata shida sana. Naomba mtu mwenye hiyo gari tajwa hapo juu ambalo lipo kwenye hali nzuri anichek tufanye biashara kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye nayo au anafahamu mahali naweza kupata hiyo dublicating machine pale Arusha anisaidie nahitaji kwa ajili ya shule ya sekondari pasipo na umeme. Iwe used inayofanya kazi vizuri au...
0 Reactions
3 Replies
896 Views
Legacy Impresion Company, ni kampuni iliyosajiliwa kisheria, inapatikana eneo la Kijitonyama.Dar es salaam na inafanya shughuli za "Printing, Graphic Design, Webtech na Stationeries"...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza shamba maeneo ya chanika majumba sita shamba lina ukubwa wa heka 2 pia lina minazi 2, mikorosho 4 na mimbe midogo 2 pia kuna mihogo ila haijapaliliwa bei milioni 6 ila maelewano yapo namba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mweny e61 nokia antajie bei 2elewane" pia unaweza nip.m nipo mwanza"
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Shamba heka kumi,lipo maeneo ya Msowelo mkoani Morogoro pembezoni mwa mto Msowelo linauzwa,linafaa kwa kilimo cha umuagiliaji maji hasa bustani na kilimo cha mahindi,bei inaanzia 400,000/= kwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…