Natafuta dublicating machine

Natafuta dublicating machine

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
852
Kwa yeyote mwenye nayo au anafahamu mahali naweza kupata hiyo dublicating machine pale Arusha anisaidie nahitaji kwa ajili ya shule ya sekondari pasipo na umeme. Iwe used inayofanya kazi vizuri au mpya na bei yake.
 
Unataka ku dublicate kitu gani.
 
unaweza kupata lakini replacements zake kama wino, stencils nk. hizi zipo sana hasa kenyem ashule na taasisi nyingine kama scrapers
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom