Mashamba ya umuagiliaji yanauzwa Msowelo

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
612
Shamba heka kumi,lipo maeneo ya Msowelo mkoani Morogoro pembezoni mwa mto Msowelo linauzwa,linafaa kwa kilimo cha umuagiliaji maji hasa bustani na kilimo cha mahindi,bei inaanzia 400,000/= kwa heka na inapungua kidogo,mwenye kuhitaji ani PM

Hii Nchi jamani ni kubwa hii kitu sijawahi sikia masikioni hata siku moja nadhani nimekuwa mvivu wa kusoma atlas oi...

Msowelo na mto unaitwa msowelo!!! sasa kama unauza Shamba karibu na vyanzo vya maji hii ni sawa kweli? hayo mashamba yana hati? da na hiyo bei oi ipo down sana

Si mvivu wa atlas mkuu tu ila hata ku google umekua mvivu kidogo,hivi kilimo cha bustani kinakatazwa karibu na mito?mkuu sidhani kama unaelewa vizuri dhana nzima ya kilimo cha bustani!na mashamba ya vijiji utambulika na serikali za vijiji mkuu wangu

Anunui Mtu huko kama ni morogoro hakufai ukifanikiwa kidogo unageuzwa kichaa....

Pengine uko sahihi mkuu,maana mawazo ya mjinga ndio uwa yanamtokea,Jf sio nyumbani kwa wajinga kiasi iko!kumbe ndio maana hata ulikua na shaka kua kulima bustani karibu na mto utaharibu chanzo cha maji teh teh teh!watu wanafanya maendeleo makubwa kupitia rasilimali zilizopo mikoani,we baki na mawazo yako kua sehemu fulani ukifanya maendeleo unarogwa

Haya ndio mawazo ya kijana wa Kitanzania!inasikitisha sana!mimi nimelima miaka kadhaha huku Moro mpaka nimeamua kufanya agriculture kama ndio full employment yangu,na hata maendeleo kidogo niliyopata ni kupitia huku Morogoro vijijini na sijawa kukutana na mambo ya kipuuzi na kusadikika kama unayosema,inauma sana kuona huku vijijini tunalima na Wakenya na Wasudan wanatumia ardhi yetu kutajirika sisi tumekaa na kua na mawazo mfu na kupiga porojo na kukatishama tamaha!Watanzania lazima tubadilike sana

Ukikaa kijijini na akili nayo inadumaa huwezi kwenda na wakati.... weka manager tu tatizo siri za maisha hamzijui lazima uwe na vipato vya kukuingizia pesa zaidi ya kimoja...... hata wazazi wetu walikuwa wanasema hivyo hivyo nikistaafu naenda kuishi bush lakini walikomaa humu humu tu kwani uwezo wa kuishi bush walikuwa weshapoteza nguvu kwishney... ukiamua kuishi bush lazima uwe na nguvu na pia ujitoe mhanga haswa....

Pengine uko sahihi mkuu,maana mawazo ya mjinga ndio uwa yanamtokea,Jf sio nyumbani kwa wajinga kiasi iko!kumbe ndio maana hata ulikua na shaka kua kulima bustani karibu na mto utaharibu chanzo cha maji teh teh teh!watu wanafanya maendeleo makubwa kupitia rasilimali zilizopo mikoani,we baki na mawazo yako kua sehemu fulani ukifanya maendeleo unarogwa

Hata wanaovuna miti au kuvua samaki kwa kutumia vyandalua na wale wanaoharibu vyanzo vya maji huwa na mawazo kama yako kuwa watafaidika sana kumbe baada ya miaka kadhaa hujikuta wako katika mazingira ya Jangwa vyanzo vyote hukauka na kusema mabadiriko ya nchi!

Asante kwa darasa lako mkuu,nadhani mimi na serikali yako iliyobariki kilimo cha umuagiliaji tumekuelewa!jioni njema na maandalizi mema ya easter

Ukikaa kijijini na akili nayo inadumaa huwezi kwenda na wakati.... weka manager tu tatizo siri za maisha hamzijui lazima uwe na vipato vya kukuingizia pesa zaidi ya kimoja...... hata wazazi wetu walikuwa wanasema hivyo hivyo nikistaafu naenda kuishi bush lakini walikomaa humu humu tu kwani uwezo wa kuishi bush walikuwa weshapoteza nguvu kwishney... ukiamua kuishi bush lazima uwe na nguvu na pia ujitoe mhanga haswa....
Nadhani aidha wewe ni bado kula kulala kwa wazazi au kama sio kula kulala basi ni K.J,ulichochangia hapa hata hakieleweki,hata uandishi wako ni wa kitoto!we unajuaje kama mtu ana mradi mmoja tu kwa kupitia humt J.F?nisipoteze muda wangu ku argue na wewe,haujitambui,waache watu wazima watafute pesa

wewe nadhani shida yako haswa ni shari tu huna lolote Kuna aina za uandishi ndio useme wa kitoto au wa kikuba? wewe ni ----- sasa nakuona huyo aliyekufundisha alikuwa hajaelimika na hana ustaarabu... ukiwa na akili ndogo utaona unapoteza muda! JF NI zaidi ya huo muda unaodhani unapoteza bora ulale ubaki na ujinga wako tu humu JF ni elimu na mawazo tofauti utapata, wewe tu ni kuchagua uchukue lipi kama akili yako uliyofundishwa ukaelewa... Usije ukadhania uwazalo wewe tu ndio lafaa na la wengine halifai pole. Ati niache watu wazima watafute pesa!!! mtu aje huko kutafuta pesa kwa kilimo cha bustani? ndio nimesema ukishafeli maisha kimbilio ni Kilimo hicho ambacho utaambulia pesa ya kula tu... watu walio makini hudeal na mashamba makubwa. na sio kwenda kugombania maji ya mto ya kugombania.. na kawaida ya vijijini wageni huwa hawapewo kipaumbele zaidi ya pesa yao tu na mwishowe hudhurumiwa nawaacha wajaribu waje kuona mimi yalishanikuta na nitawapinga tu hawa mataperi... najua mmekasirika ila ukweli ndio huo haji mtu huko...

Mimi nimesema mtu awe na chanzo cha mapato zaidi ya kimoja na sijasema nafahamu au kutofahamu so ni ushauri wangu tu nilioutoa kwa Warren Buffet sio wewe unakurupuka na kutafsiri kama unaumwa ukichaa... hivi akili huwa mnazikalia?

Asante kwa kunielimisha mkuu,kweli mimi nimeshindwa maisha na ndio maana nimekimbilia huku!shule yako imekomaa mkuu,ila misemo ya kina Warren Buffet,Robert Kiyosaki wengi tunaijua!tatizo ni jinsi ya kuifanyia kazi!asante kwa darasa lako!pasaka njema

Back
Top Bottom