Muhimu kwako

Muhimu kwako

echuma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Posts
311
Reaction score
80
Legacy Impresion Company, ni kampuni iliyosajiliwa kisheria, inapatikana eneo la Kijitonyama.Dar es salaam na inafanya shughuli za "Printing, Graphic Design, Webtech na Stationeries". Kampuni inawaletea bidhaa mpya kwa upande wa "Graphic design" bidhaa hiyo inaitwa "Branding". Branding ni kifurushi chenye kazi zilizodizainiwa vizuri kwa ajili ya kampuni/Ngo/ofisi yako, kifurushi hicho kitakusaidia kama mfanyabiashara kuwa na muonekano usiobadilika ikiwa ni nguzo mojawapo za kukua na kuongeza soko la biashara yako pia kitakusaidia kuongeza wateja nje na ndani ya nchi. Branding imegawanyika katika vifurshi aina tatu tofauti hii itategemea na unahitaji aina ipi kwa muda huu nazo ni " Basic" Promotion" " Premium" kwa maelezo zaidi kuhusiana na aina pamoja na kifurushi kwa ujumla angalia kipeperushi kilichoambatanishwa au piga namba zilizipo kwenye kifurushi hicho, bei zetu ni nafuu na zinakidhi toa oda yako sasa.

Kutokana na umuhimu wa muda sasa tunafanya kazi,tunatoa huduma kupitia mtandao (online) kama utahitaji kufanya kazi na sisi mtandaoni tafadhali wasiliana nasi sasa hauhitaji kutoka ofisini ili kazi yako iwe nzuri

Pia kampuni inafanya kazi Printing aina zote kubwa na ndogo ,tunauza vifaa vya steshenari na tutakufikishia hadi mlangoni kwa wale wenye oda kubwa.

Katika ulimwengu wa ushindani usiangalie tu kutengeneza ilimradi tengeneza ilhali ukiangalia ubora,uwezo na hata nguvu ya ushawishi kwa wateja wako tumia " Legacy Impresion Company" kwa mafanikio ya ofisi yako.
 

Attachments

  • Branding CATEGORIES.jpg
    Branding CATEGORIES.jpg
    737.3 KB · Views: 75
  • branding package 2.jpg
    branding package 2.jpg
    427.8 KB · Views: 70
ni kweli matangazo ni mengi na wanaofanya vizuri ni wachache lakini jaribu kurudia kulisoma tangazo langu sijalalia upande wangu nimetoa maelezo kwa mteja kuhusu nini kinamfaa ili kwenda na soko pamoja na kuongeza faida halafu nikamaliza kwa ushauri hivyo kampuni inamjali zaidi mteja kuliko kujitangaza yenyewe sample za kazi zetu unaweza kuzipata kupitia facebook page yetu (legacy Impression Company).

kizuri ni hujitenga na kilicho bora huwa bora tu.
 
Biashara yako inategemea sana soko lako na soko lako linategemea biashara yako kupitia uwezo wa jina lako kuathiri majina mengine kwenye soko na njia muhimu ya kuathiri ni kuhakikisha ni namba moja kwenye kile unachokifanya hivyo huwezi kuwa namba moja bila Kubrand kampuni yako . karibu sasa tukupe elimu ya branding pia tukufanyie branding
 
sasa bei imepunguzwa msimu wa pasaka
 
Back
Top Bottom