Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Mponjori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
2,205
Reaction score
551
Habari wanaJF! kutokana na matatizo niliyoyapata katika Biashara zangu, natangaza kuuza nyumba ambayo ilikuwa bado kidogo kukamilika. imepauliwa, ina vyumba vya kulala vitatu, viwili ni futi 10 kwa 10, masterbedroom ni futi 18 kwa 12, jiko na store. Ina bafu na choo, ipo kwenye eneo la mita 30 kwa 20, kuna miti na mihogo. Ipo Saranga karibu na Temboni, pia kuna njia ya kupitia kinyerezi mwisho. Ipo barabarani na gari linafika. Bei ni Tsh milioni 30. maelewano yapo. karibuni.
 

Attachments

  • DSC08955.JPG
    DSC08955.JPG
    54.3 KB · Views: 340
Mkuu. nitakupm na kama tutaafikiana nikupe mshiko mara moja. Hata hivyo nakushauri uweke na picha ya views nyingine za hiyo nyumba.
 
Habari wanaJF! kutokana na matatizo niliyoyapata katika Biashara zangu, natangaza kuuza nyumba ambayo ilikuwa bado kidogo kukamilika. imepauliwa, ina vyumba vya kulala vitatu, viwili ni futi 10 kwa 10, masterbedroom ni futi 18 kwa 12. Ina bafu na choo, ipo kwenye eneo la mita 30 kwa 20, kuna miti na mihogo. Ipo Saranga karibu na Temboni, pia kuna njia ya kupitia kinyerezi mwisho. Ipo barabarani na gari linafika. Bei ni Tsh milioni 30. maelewano yapo. karibuni

mawasiliano 0716662211


Napenda tu vile ilivyojengwa juu ya mmomonyoko, yaani hapa ukinunua kinakula kwako. Poa sana kwa muuzaji kwani anaona mbali.
 
wazo zuri zaidi
nimejaribu kwenda Crdb,pia Acb, tatizo biashara zangu ni za kusafiri ko inakuwa ngumu wao kuamini moja kwa moja. Nilifuatilia mpaka nikachukua hati ya kimila,nimelipia manispaa kinondoni kwa ajili ya kupata mkopo. Pia kutotunza taarifa za biashara kumenicost kutopata mkopo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom