Corrola X mpya inauzwa

Corrola X mpya inauzwa

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Nauza gari aina ya Corrola X
Ya mwaka Mwaka 2004
Kilometa 53,000
Engine CC 1500

Ni Mpya kabisa, ndo kwanza imetoka bandarini

Kwa mawasiliano piga namba 0713-757491
NB: Hakuna udalali
 

Attachments

Niliposema ya mwaka 2004 namaanisha YEAR OF MANUFACTURE, mpya namaanisha kuwa haijatembea hapa kwetu bongo si unajua barabara zetu za bongo zilivyo mbaya, so it means ipo bomba.
 
Mkuu mbona ipo wazi, hakuna maneno mbadala ya kuelezea hali halisi
 
Bei ni Milioni Kumi na Tatu na Laki Tano (13,500,000/=)
 
Duh milioni 9 kwa gari hiyo huwezi pata, tuangalie uhalisia
 
Back
Top Bottom