Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,805
Habari wanaJamvi,
Jamani ninatafuta room selfcontained (Parking muhimu ) hata kama kuna mtu amepanga nyumba na anatafuta mtu wa kushare.
Ndo kwanza naanza maisha so gharama isizidi 150000 a month.
Napendelea maeneo ya Mikocheni A&B, Victoria, Kijitonyama, Sinza A, Block 41 or Mbezi beach.
NiPM please.

Asanteni, Mbimbinho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom