Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,582
- 16,451
Ninauza galaxy Tab P6200, 16 GB, nyeupe backcover na pembeni ni rangi ya silver
Ina-support GSM, na WIFi, imetumika miezi 2
Accessories nyingine: Pochi 2 moja yenye wireless keyboard (black) na keyboard nyingine ya kawaida (Black).
Ina charger na data cable, haina michubuko iliwekwa screen protector
Bei: Tsh 700,000/- Haipungui
Sababu ya kuuza: Nina shida ya haraka
Mahali ilipo: Dar es salaam
Picha: zimeambatanishwa
Contacts: (serious buyer)JF pm, 0713 861 336