Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wana jukwaa nahitaji compacter mashine ya mkono kwaajiri ya kushindilia kwa yeyote anayejua namna ya kuipata anijulishe
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Nimejaribu ku2ma post hii kwa mara ya kwanza,nimempata Jamaa yupo Dar(jalem),aliniambia anayo lakini nimem_PM hata hakunijibu tena! Natafuta sana hyo simu,naombeni msaada wenu,si lazima iwe mpya!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu... habari za wikiend? kuna mdau mmoja anataka kuwekeza hapa Dar es Salaa, anatafuta plot iliyoko maeneo ya ufukweni kwa ajili ya kufungua PUB na Restaurant... ikiwa na ukubwa wa 100m x 50m...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza jiko kwa ajili ya kufanyia biashara ya bakery.Jiko hili lilitumika Uingereza na lipo katika hali nzuri kabisa na litaendelea kufanya kazi kwa miaka mingi tu.Vitu vyao hivi kiukweli ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza External Portable Power Bank Backup Battery Charger kwa njia ya mnada. Kushiriki mnada huu tembelea hii link External Portable Power Bank Backup Battery Charger uweke dau lako na ukishinda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji kununua simu iwe kati ya aina hizi Huawei,ideos,samsung.kigezo iwe inauwezo wa Ku-download Whatsapp,Bei isizid 150 tafadhali nisaidie....!!! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Natafuta simu tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri,vile vile nauza nokia x2-01,nicheki pm kama unayo
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Diamond alitaka wote.. wewe ungemchagua nani? Piga kura yako apa 360VOTES | Jokate Vs wema sepetu
1 Reactions
14 Replies
3K Views
hallow jamii forums, As the heading say i am selling harrier model year: 2002. the car is in a very good condition. It have been imported in the country 12 December 2012 and all the duties have...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Makabati ya watoto mazuri na ya kisasa, yanapendezesha nyumba sana.... Unaweza kutumia kuwekea vitu vya mtoto... Km nguo zake, sabuni.....na kadhalika na hata watu wazima wanaweza kuwekea vitu...
1 Reactions
19 Replies
12K Views
Wadau, Nahitaji Laptop. Pamoja na mambo mengine, the following specifications are mandatory: RAM: At least 2 GB but 4 GB preferred Hard Disk: At least 500 GB Processor: Duo core, at least...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Niana ya hp,nimetumika kwa mda wa miezi 6,ninzuri na haina mchubuko hata kidogo,nzuri ukubwa 2gb,bei haipungui,mwenye kutaka PM,inaprogram zote Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pata kitabu kizuri cha Chemistry. kiitwacho New Certificate Chemistry cha Holderness n. Lambert......kitabu hiki kinafaa kwa wanafunzi wote wa A level na O level wanaosoma Chemistry bei yake ni...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hp530 intel duo core 1.6ghz ram 1gb harddisk 100gb win7 battery imekufa na dvd drive ya kutengeneza ila vingine poa whatsapp 0713522445 bei negotiatable
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jipatie Galaxy s2 zipo nyingi jumla na rejareja. Ni used sawa na mpya kutoka Korea. Kwa mawasiliano piga no hizi. 0754240428/ 0717111212
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nina uwezo na ujuz mkubwa katka editn,graphics na photographing,ntafute hpa.0762052850
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Kwa wale wanaofanya ufugaji kuanzia maeneo ya ubungo mpaka kibamba;napenda kuwajulisha kwamba nimeanza kuzalisha vyakula vya wanyama wote wanaofugwa i.e. ng'ombe, nguruwe, mbwa etc. Bei ni nafuu...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Nahitaji mojawapo wa smartphone hizo, bajeti yangu ni kama ifuatavyo: samsung galaxy s3 550k samsung galaxy note 2 600k nokia lumia 920 500k iphone 4s...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
year of manufacture 2003 all duties paid registered number in tanzania BZA PRICE 13M 0715 881881
0 Reactions
10 Replies
2K Views
tafadhali husikeni na kichwa cha habari wakuu.....
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…